Kijana mtaalam wa kukaanga na kuchoma kuku.

Kijana mtaalam wa kukaanga na kuchoma kuku.

Ubungo Mataa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2018
Posts
411
Reaction score
725
Heshima kwenu wakuu

Kijana mtaalam wa kutengeneza na kuandaa kuku choma na kukaanga kuku, broiler, sekela, na Aina zingine za kuku.

Pia mwenye utaalamu mkubwa wa kuandaa na kutengeneza chips Kali, mzuri.

Muda wa kazi ni kuanzia Jioni.

Eneo la kazi ni Kimara Temboni.

Mshahara na mambo mengine tutaelewane, PM iko wazi.


Karibu
 
Back
Top Bottom