Tatizo niko mbali mkuu ila ndo mambo yangu hayooKijana mtaalam wa kutengeneza na kuandaa kuku choma, lemon, sekela, na Aina zingine za kuku,
Pia mwenye utaalamu mkubwa wa kuandaa na kutengeneza chips Kali, mzuri,
Na kuandaa Yale makorombwezo masalad, makachumbari, ma ukwaju pilipili and mambo kama hayo
Mtu mwenye rafiki au ndugu au kama yy mwenyewe ni mhusika na anasoma ujumbe huu na anaweza kufanya hii kazi please nidm
Eneo la biashara ni kigamboni
Mbeya mkuuMbali wapi?
Mshahara na muda wa kazi weka wazi apa tujitoseKijana mtaalam wa kutengeneza na kuandaa kuku choma, lemon, sekela, na Aina zingine za kuku,