RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
JF katika ubora wake.Dar pesa ipo, kutumia nauli ya laki kwa siku ni kawaida tu. Kikubwa tutabanana hapahapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JF katika ubora wake.Dar pesa ipo, kutumia nauli ya laki kwa siku ni kawaida tu. Kikubwa tutabanana hapahapa
😂😂😂 Huna point. Tuachane nayo hayoMbona aihitaji hata degree kifikiria? Hizo material za kutengenezea vifaa vinatokea wapi? Hivi bei ya tofali dar utalinganisha na moro au iringa? Hivi gharama ya fundi unaweza linganisha na fundi wa dar?
Acha ubishibi usio na faida
Uko sahihi.maisha ya Dar labda uwe una shughuli yako mwenyewe na makazi yako karibu na hicho kijiwe,lakini kinyume cha hapo eti unakaa Kiluvya ndani ndani huko halafu kazi unafanyia Posta lazima maisha yako yatakuwa magumu sana...Vijana wenzangu mnaojitafuta katika maisha, mkitaka kujenga, singatieni umbali na mahali mnapofanyia kazi, hasa kwa wale wa Dar es Salaam... jiji la fujo. Nasema haya kwa kuwa yamenikuta... Ni heri ningenunua kiwanja mkoani kwetu, maana pesa niliyoitumia huku, kwa kule ningepata kiwanja karibu na mjini na kilichopimwa kabisa. Na pesa niliyoitumia kujenga kwa Dar, kwa kule ningejenga nyumba kali na ingepata mpangaji chapu na kuanza kula kodi. Huku Dar ningeishia kupanga tu, maana sio kwa hasara hii.
Hebu fikiria, nilijiona mjanja nikanunua kiwanja Chanika kwa zoo, nikajisemea moyoni hakuna kwako mbali... Hahahaha! Kilichonipata, sasa nakaribia kunyoosha mikono juu... Kila siku ili nifike mishe mishe lazima niamke saa 9 za usiku, nikwee boda hadi stand, huku daladala hadi town 1,200; kwenda hiyo jumla 2,200. Na hapo nimebahatisha gari ya town, wakati mwingine natumia hadi 2,700. Kirudi inanilazimu kugeuka na gari pale Boma maana Machinga Complex hakupandiki ikifika saa 11 jioni... Gari inafika fulu nyomi, hapo natumia 1,900, jumla 4,100 kwa mwezi. Hapo hujala walau hata mlo mmoja na bado kufika nyumbani ni saa 4 au 5 usiku, unalala hoi.
Daah! Hapo nikamkumbuka rafiki yangu mmoja alisema, "Dar umeenda kutafuta, wekeza home; miaka inakwenda, miji inakua, Dar utapoteza pesa." Dooh! Nikakaza shingo, leo najifunza kwa njia ngumu, walahi!
We kweli kiazi hata huelewekiAcha stori za kufikirika wewe. Mtu anazungumzia kujenga Chanika huko unaleta stori za kuhamisha watu Sinza. Mtu wa kuhamisha mtu Sinza hayuko level za nyumba ya kulala. Take that to the bank.
Taabu zote hizo ni matokeo hasi yatokanayo na Kukosekana kwa Mipango-miji Bora na iliyo Madhubuti.Vijana wenzangu mnaojitafuta katika maisha, mkitaka kujenga, singatieni umbali na mahali mnapofanyia kazi, hasa kwa wale wa Dar es Salaam... jiji la fujo. Nasema haya kwa kuwa yamenikuta... Ni heri ningenunua kiwanja mkoani kwetu, maana pesa niliyoitumia huku, kwa kule ningepata kiwanja karibu na mjini na kilichopimwa kabisa. Na pesa niliyoitumia kujenga kwa Dar, kwa kule ningejenga nyumba kali na ingepata mpangaji chapu na kuanza kula kodi. Huku Dar ningeishia kupanga tu, maana sio kwa hasara hii.
Hebu fikiria, nilijiona mjanja nikanunua kiwanja Chanika kwa zoo, nikajisemea moyoni hakuna kwako mbali... Hahahaha! Kilichonipata, sasa nakaribia kunyoosha mikono juu... Kila siku ili nifike mishe mishe lazima niamke saa 9 za usiku, nikwee boda hadi stand, huku daladala hadi town 1,200; kwenda hiyo jumla 2,200. Na hapo nimebahatisha gari ya town, wakati mwingine natumia hadi 2,700. Kirudi inanilazimu kugeuka na gari pale Boma maana Machinga Complex hakupandiki ikifika saa 11 jioni... Gari inafika fulu nyomi, hapo natumia 1,900, jumla 4,100 kwa mwezi. Hapo hujala walau hata mlo mmoja na bado kufika nyumbani ni saa 4 au 5 usiku, unalala hoi.
Daah! Hapo nikamkumbuka rafiki yangu mmoja alisema, "Dar umeenda kutafuta, wekeza home; miaka inakwenda, miji inakua, Dar utapoteza pesa." Dooh! Nikakaza shingo, leo najifunza kwa njia ngumu, walahi!
Gharama zinakimbiwa sana tu, ujenzi wa mkoani hauwezi fananisha na dar. Na ujenzi pia unategemea factors tofauti tofauti.Nilikaa Chanika mwenyeji wangu alikua na gari. Nikabadili mtazamo, hakuna mahali ni mbali kama una usafiri. Na gharama hazikimbiwi tafuta namna ya kuongeza kipato kuzikabili.
. Gari inafika fulu nyomi, hapo natumia 1,900, jumla 4,100 kwa mwezi.
Hata makamu wako wa Rais kwake ni hukoUlivyoandika chanika tu nikakudharau,mtu makini hawezi kuishi chanika
ALikuwa hajielewi,hawezi kuishi huko tena ,makazi rasmi ya VP ni oystetbay akistaafu ataamia MbweniHata makamu wako wa Rais kwake ni huko
Mh Mpango anakaa huko kwa zaidi ya miaka 10. Na kwakwe ni mbele huko ukivuka Chanika mwisho. Tafakari yule mzee ni mtu makini au Lah?.Ulivyoandika chanika tu nikakudharau,mtu makini hawezi kuishi chanika
Homboza ya Mlali Morogoro?Niuzie mimi, nina mashamba yangu ya kuku Homboza.
Kiazi wewe usielewa simple issues. Viazi wengi huwa wanapenda kukimbilia msemo 'TAFUTA HELA' utafikiri mliambiwa kuna watu wamepoteza hela.We kweli kiazi hata hueleweki
Unalalamika nauli ya 4100/= of course Mimi nikitumia public transport huwa natumia nauli ya 8000*30 daysVijana wenzangu mnaojitafuta katika maisha, mkitaka kujenga, singatieni umbali na mahali mnapofanyia kazi, hasa kwa wale wa Dar es Salaam... jiji la fujo. Nasema haya kwa kuwa yamenikuta... Ni heri ningenunua kiwanja mkoani kwetu, maana pesa niliyoitumia huku, kwa kule ningepata kiwanja karibu na mjini na kilichopimwa kabisa. Na pesa niliyoitumia kujenga kwa Dar, kwa kule ningejenga nyumba kali na ingepata mpangaji chapu na kuanza kula kodi. Huku Dar ningeishia kupanga tu, maana sio kwa hasara hii.
Hebu fikiria, nilijiona mjanja nikanunua kiwanja Chanika kwa zoo, nikajisemea moyoni hakuna kwako mbali... Hahahaha! Kilichonipata, sasa nakaribia kunyoosha mikono juu... Kila siku ili nifike mishe mishe lazima niamke saa 9 za usiku, nikwee boda hadi stand, huku daladala hadi town 1,200; kwenda hiyo jumla 2,200. Na hapo nimebahatisha gari ya town, wakati mwingine natumia hadi 2,700. Kirudi inanilazimu kugeuka na gari pale Boma maana Machinga Complex hakupandiki ikifika saa 11 jioni... Gari inafika fulu nyomi, hapo natumia 1,900, jumla 4,100 kwa mwezi. Hapo hujala walau hata mlo mmoja na bado kufika nyumbani ni saa 4 au 5 usiku, unalala hoi.
Daah! Hapo nikamkumbuka rafiki yangu mmoja alisema, "Dar umeenda kutafuta, wekeza home; miaka inakwenda, miji inakua, Dar utapoteza pesa." Dooh! Nikakaza shingo, leo najifunza kwa njia ngumu, walahi!
Sisi wa msongola,mvuti , kisewe na mbande unatuambia Nini 😇Ulivyoandika chanika tu nikakudharau,mtu makini hawezi kuishi chanika