jey n Senior Member Joined Dec 15, 2018 Posts 159 Reaction score 145 Jul 27, 2021 #1 Habari za muda wadau, Nataka nifanye biashara ya kuuza chips Mbagala ila nimekosa mtu wa kufanya nae kazi. Kama yupo mtu mwenye uzoefu na hii biashara tuwasiliane
Habari za muda wadau, Nataka nifanye biashara ya kuuza chips Mbagala ila nimekosa mtu wa kufanya nae kazi. Kama yupo mtu mwenye uzoefu na hii biashara tuwasiliane
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,472 Reaction score 6,391 Jul 27, 2021 #2 jey n said: Habari za muda wadau, Nataka nifanye biashara ya kuuza chips Mbagala ila nimekosa mtu wa kufanya nae kazi. Kama yupo mtu mwenye uzoefu na hii biashara tuwasiliane Click to expand... jey n upo Mbagala sehemu gani, mimi ni mzoefu sana wa hiyo biashara
jey n said: Habari za muda wadau, Nataka nifanye biashara ya kuuza chips Mbagala ila nimekosa mtu wa kufanya nae kazi. Kama yupo mtu mwenye uzoefu na hii biashara tuwasiliane Click to expand... jey n upo Mbagala sehemu gani, mimi ni mzoefu sana wa hiyo biashara
jey n Senior Member Joined Dec 15, 2018 Posts 159 Reaction score 145 Jul 27, 2021 Thread starter #3 Ntumie mawasiliano
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Oct 11, 2021 #4 Umeshampata au bado?
CABANA JF-Expert Member Joined Feb 6, 2013 Posts 420 Reaction score 556 Oct 15, 2021 #5 Tuwasiliane ndugu....