Kijana muuuza chips anahitajika Mbagala

Habari za muda wadau,

Nataka nifanye biashara ya kuuza chips Mbagala ila nimekosa mtu wa kufanya nae kazi.

Kama yupo mtu mwenye uzoefu na hii biashara tuwasiliane
jey n upo Mbagala sehemu gani, mimi ni mzoefu sana wa hiyo biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…