Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Kijana mwenye asili ya Kitanzania ambae alikuwa mwanajeshi huko Marekani ambae alijipiga risasi risasi wiki iliyopita na kufa hapo hapo amezikwa kwa heshima za kijeshi huko Los Angeles nchini Marekani.
Kijana huyo ameacha mke ambae walioana miaka mitatu iliyopita.
Hata hivyo haijajulikana sababu haswa ya kijana huyo kujiua kwa kuwa hakutoa taarifa ya kinachomsumbua kwa mama yake, mdogo wake wala mkewe ambao wanaishi wote huko marekani.
Hapa chini mkewe akiongea