Ndio kwao/ kwake.Kwanini azikwe huko?
Alikuwa mtanzania sio mtanzania
Unatulisha ufyade huyo ni Mmarekani mwenye asili ya huku OVER.Kusafirisha maiti toka state hadi bongo ni dola elfu kumi., na jeshi la huko lina mamlaka ya kugharamia maziko endapo atazikwa huko nje ya hapo jeshi halihusiki. Ndo mana akazikwa huko
Wanakimbia therapy.. Inachosha but worthy itPTSD is for real.