Mkuu kwanini usiongelee uhalisia wa mambo. Unaichukuliaje $100? Au unaamini watalii ni wajinga hawafuatilii hayo mambo?Mkuu sio kila mtu ana mapenzi na hotel kubwa, tena jua hamna hotel ya $100 kwenye strategic location labda guest house au Logi, $100 nikawaida sanaa kwa watalii wetu.
Wewe jomba shusha nyuzi bhana... huwa una stori za kusisimua.Atakayekupuuza alaaniwe
100 USD=260,000 Tshs?Hahahaha.. kakurupuka sana. $100 si bora ukalale hoteli kali yenye hadhi?
Mkuu hotel kama Serana shelton kwa siku ni kuanzia $ 700 mpaka $1500 kweli unaona $100 ni nyingi kwa mtalii hata akiwa ametoka India au China hiyo pesa ni ndogo kwa self-contained and furnished kukaa na familia yake100 USD=260,000 Tshs?
Kama wanasiasa wanavyowaambia vijana wajiajiri wakati wao wanakimbizana kuiba masanduku ya kura ili waajiriwe.Laiti biashara zingekuwa rahisi kama ulivyoandika mleta mada mbona tungefanikiwa wengi
Bnb ya kulipwa usd 100 kwa usiku huwezi kukodi kwa 100k maanq hizo zipo mikocheni,upanga au masakiVijana wengi wana mitaji mdogo ila hawajui biashara gani wafanye kuendena na huo mtaji bila kupoteza huo mtaji, kwa ufupi ntataja aina za biashara ambazo kijana mwenye juhudi ya utafutaji anaweza kuanzisha.
1. Kwa 1m unaweza kununua piki piki (boxer) used ila ina hali nzuri na ukaanza nayo mdogo mdogo kama derivery-man au boda boda utapata 20k kwa siku sio mbaya kwa kuanza maisha na mwenye malengo (ceteriperibasi)
2.Broker au kufanya kama winga tafuta wateja kwanza ndo utafute bidhaa anao taka jikite kwenye aina moja ya bidhaa piga picha za maduka ya watu utangaze online mteja hataki kujua kama duka ni la kwako yeye anahitaji bidhaa imfikie tu bila uhuni weka cha juu
3.bedcure hi ni biashara yenye pesa nyingi ila inahitaji mtaji kidogo, kujifunza, kukata kucha na kuosha miguu pamoja na kupaka ina ya wanawake sio shida kubwa ni suala la kua na nidhamu, hao wanawake wanapesa za bure ukijishusaha kwa siku 50k sio haba utaipata tu.
4.Roadside chips and bites, tafuta sehemu ambae haina vibanda vya chips vingi ndo uweke ukifanikiwa kuuza kwa wateja 10 tu kwa siku una 10k, ndani ya masaa tu, utakuza mtaji kidogo kidogo.
5.air bnb, hi ni biashara ya kisasa sana kodi vyumba vyako viwili matharani kwa 100k kila mwenzi weka farniture nzuri na safi tanganza mdatandaoni ili wafeni weje wakodi kwa $100 kwa siku sawa sawa na 250k kila chumba hata akika wiki moja tu pesa itakutosha.(ceteriperibasi)
6. online boutique, tafuta design au fashion shop piga picha weka mtandaoni maarufu kama jiji letu ongea na clients wako kwa kuongeza cha juu kwa kutumia bidhaa za watu wengine mkifika bei lipia umpelekee utapata clients wengine wengi.
7.consultancy katika fani mbali mbali kama huna ujuzi wowote tafuta wenye ujuzi uwatumie wewe bila wenyewe kujua utapata pesa mpaka basi, ila epuka utapeli usimdanganye client wako, kama huna mjuzi katika hiyo fani achana nayo.
8.Evening coffee shop, birthday cakes, bread and Milk, market target iwe middle class wanao toka makazini sio kuuza kahawa hizi za wakosa ajira kwenye vijue vya simba na yanga..... tafuta middle class hususani wanawake wa ajiriwa birthday cake order ni lazima zawadi au gifts pesa nyingi zinaenda kwenye vitu kama hivyo we tafuta mbinu ya kuwafikia jitahidi uwe msafi na mtu wakusifia sifia wanawake mpole na mwaminifu mwanamke hupenda watu smart na waminifu utakua chef wao wa coctailparties zao, epukana na ngono za hovyo mtaji utapotea
Mkuu neenda karibu na mbuga za wanyama au karibu na vivutio vya utalii vingine utapata rooms kwa bei cheBnb ya kulipwa usd 100 kwa usiku huwezi kukodi kwa 100k maanq hizo zipo mikocheni,upanga au masaki
Good ideaMkuu neenda karibu na mbuga za wanyama au karibu na vivutio vya utalii vingine utapata rooms kwa bei che
Hakuna rooms za bei chee mbugani,ukishindwa kukodi mitaani mbugani hupawezi kabisa.Mkuu neenda karibu na mbuga za wanyama au karibu na vivutio vya utalii vingine utapata rooms kwa bei che
Safi sana, nadhani kuna jamaa alihisi ni vitu vya kusadikika hapo juu.Mkuu inawezekana vizuri neenda soronela au ngororo hifadhi ya seregeti kuua vyumba kipindi cha off season utapata lipia kwa 6months viboreshe peak season watalii wanafurika kabisa
Mkuu leta idea zako sio kukosoa tu ipi inawezekana.....unajua nyie ni sadist au alarmist kuonyesha vijana kwamba kila kitu ni impossible hiyo ni roho mbaya mkuu, ukiondoa ya bed cure hamna kazi hapo sijawahi kufanya au sijashiriki kufanya na ndugu au rafiki naongea kwa uzoefu, nyie ni wachawi hamtaki vijana kuendelea kwa kujaribu kazi mbali mbali........wewe toa idea zako za kazi kama unazo.Hakuna rooms za bei chee mbugani,ukishindwa kukodi mitaani mbugani hupawezi kabisa.
Kule mbugani chumba kilichotengenezwa kwa mbao na paa la makuti kinakodishwa hadi dola 300 na zaidi kwa siku.
Hii mada iko too theoretical na inaonekana mtoa mada hajawahi kufanya biashara hata moja katika hizo alizotaja.
Yaani nilivyoona pointi ya kwanza tu ya kununua bodaboda iliyotumika Bongo nikaona moja kwa moja mtoa mada hana uzoefu wa biashara.
Wewe fikiria bodaboda mpya tu ukinunua ni pasua kichwa halafu eti ukanunue bidabida iliyotumika uitegemee ikuletee hela
Ushauri mzuri mkuu.
Hiyo no.5 kwa bongo itaonekana kama Chai ila Kenya wanafanya vijana wengi na wanapiga pesa mno.
Nina mshkaji wangu anafanya hiyo, huwa wanachukua apartment wanapangisha kwa foreigners nadhani kwa Tanzania watu hapa wanashangaa kwa sababu ya mazingira yetu na mazoea.
Mkuu neenda karibu na mbuga za wanyama au karibu na vivutio vya utalii vingine utapata rooms kwa bei che