Kijana mwenye mtaji kati ya 1m hadi 5m hizi ndo biashara nyepesi kufanya, usikariri biashara

Kijana mwenye mtaji kati ya 1m hadi 5m hizi ndo biashara nyepesi kufanya, usikariri biashara

Hakuna mtu aliyekuzuia kufanya biashara hiyo ni hiari yako ndugu,mimi sina mamlaka ya kumzuia mtu kufanya biashara kama mtaji uko nao,ila unapofundisha watu kitu cha uongo ambacho hakina uhalisia tutakwambia hatutakaa kimya,ndio maana ya jukwaa ndugu yangu.
Mimi mbugani niliwahi kufanya kazi sijawahi kuona hicho kitu kilichoongelewa hapo na hakipo.
Ni makampuni ya utalii ndio wanakodi eneo kutoka Tanapa/Ngorongoro wanalipia pesa nyingi mamia ya milioni kadhaa/karibia Bilioni ya Kitanzania kwa mwaka kisha wanajenga hizo lodge kisha wanatafuta watalii na kuwaleta kwa gharama ya average ya dola 300 kwa siku japo inaweza kupanda kidogo au kushuka kidogo kutegemea na season sasa ndio unafikiri watakupa wewe room kwa malipo ya elfu 50?
Tusiwe wanafki jamani kwenye ukweli tuambizane ukweli tusiwe tunaingizana chaka kama kwenye kilimo cha matikiti
Mkuu usikariri maisha nje ya mbuga watu wana vyumba wema tents wanafanya biashara hizo usiongopeshe watu.......kama wewe umezoea kwa ajiriwa endelea na kibarua chako, Arusha hiyo biashara ipo, tafuta exposure mkuu
 
Sasa mtoa mada ndio angespecify kwamba hizo tents ziko mtaani na sio mbugani.
Halafu habari za mimi kuajiriwa au kutoajiriwa yanahusiana nini na hii mada.
Focus kwenye mada mkuu sio kumshambulia mtu binafsi anayechangia mada
 
Hiyo Airbnb tunafanya huku A town Kuna hela sana aise huu mji siami ng'ooo
 
Sasa mtoa mada ndio angespecify kwamba hizo tents ziko mtaani na sio mbugani.
Halafu habari za mimi kuajiriwa au kutoajiriwa yanahusiana nini na hii mada.
Focus kwenye mada mkuu sio kumshambulia mtu binafsi anayechangia mada
Mzee bado uko Dubai?
 
Vijana wengi wana mitaji midogo ila hawajui biashara gani wafanye kuendena na huo mtaji bila kupoteza huo mtaji, kwa ufupi ntataja aina za biashara ambazo kijana mwenye juhudi ya utafutaji anaweza kuanzisha.

1. Kwa 1m unaweza kununua piki piki (boxer) used ila ina hali nzuri na ukaanza nayo mdogo mdogo kama derivery-man au boda boda utapata 20k kwa siku sio mbaya kwa kuanza maisha na mwenye malengo (ceteriperibasi)

2. Broker au kufanya kama winga tafuta wateja kwanza ndo utafute bidhaa anaotaka jikite kwenye aina moja ya bidhaa piga picha za maduka ya watu utangaze online mteja hataki kujua kama duka ni la kwako yeye anahitaji bidhaa imfikie tu bila uhuni weka cha juu

3. Bedcure hi ni biashara yenye pesa nyingi ila inahitaji mtaji kidogo, kujifunza, kukata kucha na kuosha miguu pamoja na kupaka ina ya wanawake sio shida kubwa ni suala la kua na nidhamu, hao wanawake wanapesa za bure ukijishusaha kwa siku 50k sio haba utaipata tu.

4. Roadside chips and bites, tafuta sehemu ambae haina vibanda vya chips vingi ndo uweke ukifanikiwa kuuza kwa wateja 10 tu kwa siku una 10k, ndani ya masaa tu, utakuza mtaji kidogo kidogo.

5. Air bnb, hii ni biashara ya kisasa sana kodi vyumba vyako viwili matharani kwa 100k kila mwenzi weka farniture nzuri na safi tanganza mdandaoni ili wafeni weje wakodi kwa $100 kwa siku sawa sawa na 250k kila chumba hata akika wiki moja tu pesa itakutosha.(ceteriperibasi)

6. Online boutique, tafuta design au fashion shop piga picha weka mtandaoni maarufu kama jiji letu ongea na clients wako kwa kuongeza cha juu kwa kutumia bidhaa za watu wengine mkifika bei lipia umpelekee utapata clients wengine wengi.

7. Consultancy katika fani mbali mbali kama huna ujuzi wowote tafuta wenye ujuzi uwatumie wewe bila wenyewe kujua utapata pesa mpaka basi, ila epuka utapeli usimdanganye client wako, kama huna mjuzi katika hiyo fani achana nayo.

8. Evening coffee shop, birthday cakes, bread and Milk, market target iwe middle class wanao toka makazini sio kuuza kahawa hizi za wakosa ajira kwenye vijue vya simba na yanga..... tafuta middle class hususani wanawake wa ajiriwa birthday cake order ni lazima zawadi au gifts pesa nyingi zinaenda kwenye vitu kama hivyo we tafuta mbinu ya kuwafikia jitahidi uwe msafi na mtu wakusifia sifia wanawake mpole na mwaminifu mwanamke hupenda watu smart na waminifu utakua chef wao wa coctailparties zao, epukana na ngono za hovyo mtaji utapotea
utakufa vibaya ww😂😂😂
 
Sasa mtoa mada ndio angespecify kwamba hizo tents ziko mtaani na sio mbugani.
Halafu habari za mimi kuajiriwa au kutoajiriwa yanahusiana nini na hii mada.
Focus kwenye mada mkuu sio kumshambulia mtu binafsi anayechangia mada
Alitaka kukosoa ila hakutoa ushahidi au mbadala nikaona huyu mtu ni wale walio ajiriwa hapendi wengine wa jiajiri....
 
Mkuu inawezekana vizuri neenda soronela au ngororo hifadhi ya seregeti kuua vyumba kipindi cha off season utapata lipia kwa 6months viboreshe peak season watalii wanafurika kabisa
Mkuu hizo sehemu wamiliki wanaruhusu ufanyie biashara kwa third person?
Wanaruhusu maboresho yoyote kwenye interior design?
Unaweza kuleta furniture zako bila ruhusa yao?
 
Mkuu hizo sehemu wamiliki wanaruhusu ufanyie biashara kwa third person?
Wanaruhusu maboresho yoyote kwenye interior design?
Unaweza kuleta furniture zako bila ruhusa yao?
Mkuu wana ruhusu private initiatives kule watu wako flexible sanaa jaribu changamoto utakazo pata zinatatuliwa tu.
 
Ushauri mzuri mkuu.

Hiyo no.5 kwa bongo itaonekana kama Chai ila Kenya wanafanya vijana wengi na wanapiga pesa mno.

Nina mshkaji wangu anafanya hiyo, huwa wanachukua apartment wanapangisha kwa foreigners nadhani kwa Tanzania watu hapa wanashangaa kwa sababu ya mazingira yetu na mazoea.
Uko sahihi sana biashara ya airbnb kenya iko juu hadi imeshazidiwa maana wako wengi mno.
 
Kuna kijana alijikita kwenye chips, akawa na nidhamu ya pesa, sasa yupo mbali.
Hii nidhamu ya pesa inaitwa delayed gratification ni wachache sana wanaweza kuvumilia pindi biashara inapoanza kuingiza faida wanaanza kununua vitu ambavyo havizalishi na walikuwa wanataman wamiliki kama magari huku biashara ikirud nyuma badala aache faida izaliane na kuzaliana huku akipata matunda ya biashara badae.
 
Back
Top Bottom