Kijana mwenye mtaji kati ya 1m hadi 5m hizi ndo biashara nyepesi kufanya, usikariri biashara

Mkuu usikariri maisha nje ya mbuga watu wana vyumba wema tents wanafanya biashara hizo usiongopeshe watu.......kama wewe umezoea kwa ajiriwa endelea na kibarua chako, Arusha hiyo biashara ipo, tafuta exposure mkuu
 
Sasa mtoa mada ndio angespecify kwamba hizo tents ziko mtaani na sio mbugani.
Halafu habari za mimi kuajiriwa au kutoajiriwa yanahusiana nini na hii mada.
Focus kwenye mada mkuu sio kumshambulia mtu binafsi anayechangia mada
 
Hiyo Airbnb tunafanya huku A town Kuna hela sana aise huu mji siami ng'ooo
 
Sasa mtoa mada ndio angespecify kwamba hizo tents ziko mtaani na sio mbugani.
Halafu habari za mimi kuajiriwa au kutoajiriwa yanahusiana nini na hii mada.
Focus kwenye mada mkuu sio kumshambulia mtu binafsi anayechangia mada
Mzee bado uko Dubai?
 
utakufa vibaya ww😂😂😂
 
Sasa mtoa mada ndio angespecify kwamba hizo tents ziko mtaani na sio mbugani.
Halafu habari za mimi kuajiriwa au kutoajiriwa yanahusiana nini na hii mada.
Focus kwenye mada mkuu sio kumshambulia mtu binafsi anayechangia mada
Alitaka kukosoa ila hakutoa ushahidi au mbadala nikaona huyu mtu ni wale walio ajiriwa hapendi wengine wa jiajiri....
 
Mkuu inawezekana vizuri neenda soronela au ngororo hifadhi ya seregeti kuua vyumba kipindi cha off season utapata lipia kwa 6months viboreshe peak season watalii wanafurika kabisa
Mkuu hizo sehemu wamiliki wanaruhusu ufanyie biashara kwa third person?
Wanaruhusu maboresho yoyote kwenye interior design?
Unaweza kuleta furniture zako bila ruhusa yao?
 
Mkuu hizo sehemu wamiliki wanaruhusu ufanyie biashara kwa third person?
Wanaruhusu maboresho yoyote kwenye interior design?
Unaweza kuleta furniture zako bila ruhusa yao?
Mkuu wana ruhusu private initiatives kule watu wako flexible sanaa jaribu changamoto utakazo pata zinatatuliwa tu.
 
Uko sahihi sana biashara ya airbnb kenya iko juu hadi imeshazidiwa maana wako wengi mno.
 
Kuna kijana alijikita kwenye chips, akawa na nidhamu ya pesa, sasa yupo mbali.
Hii nidhamu ya pesa inaitwa delayed gratification ni wachache sana wanaweza kuvumilia pindi biashara inapoanza kuingiza faida wanaanza kununua vitu ambavyo havizalishi na walikuwa wanataman wamiliki kama magari huku biashara ikirud nyuma badala aache faida izaliane na kuzaliana huku akipata matunda ya biashara badae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…