Kijana mwenye mtaji kati ya 1m hadi 5m hizi ndo biashara nyepesi kufanya, usikariri biashara

Katika utalii Air BnB ni chaguo la watalii wenye bajeti dongo ambao hupendelea kulala sehemu za bei ya chini. Hakuna Air BnB ya dola 100 Tanzania. Na ndani ya hifadhi zote hakuna Air BnB. Hizi utazikuta mijini tu, gharama zake huwa chini ya dola 30
 
Hii
Hiyo no 7 imekaaje mkuu
 
Eti kilimo Cha Tikiti why Tikiti 🀣
 
Ujumbe wako ni mzuri sana wanao kosoa na kukashfu tunawapuuza tuu maana mti mzuri ndio utupiwao mawe.
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ndoto za mchana hizi. Kwa milioni 5 hiyo?
Unadhani wazungu ni wajinga?
 
Mkuu sio kila mtu ana mapenzi na hotel kubwa, tena jua hamna hotel ya $100 kwenye strategic location labda guest house au Logi, $100 nikawaida sanaa kwa watalii wetu.
Mimi naishi kwenye hii Industry ya Utaliii hicho unachosema ni Idea tu lakini hakina Uhalisia wowote.

Hapo kwenye miradi mingine sawa, bodaboda na Chips
 
Vijana wa Kutanzania huwa wanafeli kabla hawajaanza.

Yaani tayari anawapa watu matumaini hewa kwamba wanaweza kupangisha Mzungu Mgeni aliyetoka Poland kuja kula Bata kwa mabanda ya kujenga kwa milioni Tano.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™‚Hawa wanawafanya wazungu mazezeta kama broilers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…