Mr Big
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 479
- 922
Nawasalim,
heading yangu inajieleza wapendwa.
Kwa kifupi,
Umri wangu ni 32
Mkristo
Mfanyakazi
Elimu ni degree.
Haja ya moyo wangu,Natafuta mdada awe ubavu wangu ili tutengeze familia bora.
Sifa zake:
Awe mkristo
Elimu angalau kuanzia diploma.
Umri 26 na kuendelea.
awe ameajiriwa au amejiajir
mwenye moyo wakusamehe,asiwe mlevi,mpenda starehe.
Awe mpenda maendeleo na mcha mungu.
Naimani mungu atamleta mtu sahihi.ahsanteni