Kijana mwenzako natafuta mke

Kijana mwenzako natafuta mke

Mtoa mada kasema anatafuta mdada, cha ajabu me ndio wanaohoji maswali[emoji134][emoji134][emoji134]

Mchumba umenipata, waambie mods wafute huu uzi.
 
Ni ule umri na kazi😣😣
Kila la kheri mkuu
 
Hapo kwenye moyo wa kusamehe ndyo nimeshindwa hicho kigezo yaani unicheat nikusamehe weee[emoji16]
 
Back
Top Bottom