Kijana Mwenzenu Nishaurini Tafadhari!!

Kijana Mwenzenu Nishaurini Tafadhari!!

Fanya feasiblity study kwanza, SWOC/SWOT ANALYSIS inahucka sana hapo mkuu b4 hujaamua lolote!
 
tafuta eneo ambalo unaweza pata maji muda wote, hasa kando kando ya mto, iwe kiwira, mbaka au songwe[mafuriko yakija kimbia]

....ukipata eneo lima mboga mboga, uhitaji kyela ni mkubwa, na mpaka leo mboga zinatoka tukuyu.

dah!We Jamaa Kweli Mkongwe Pande Hz,Nitafanyia Kazi Ushauri Wako Mzuri!
Shukran Mkuu!!
 
Hapo ni mawili kaka, kama vipi subiri uongeze mtaji kama mchangiaji alivyoshauri au kama vipi unaweza kuanzisha biashara ya mama ntilie kwasababu biashara ya chakula kaka inalipa sana. kila la kheri

dah!Kweli Kabisa Mkuu..Itabid Nijipange!
 
Fanya feasiblity study kwanza, SWOC/SWOT ANALYSIS inahucka sana hapo mkuu b4 hujaamua lolote!

sawa Mkuu Wangu..Na Ndio maana Kabla Ya Yote Nikaona Nianzie Huku!
 
Mtaji si tatizo, kikubwa ufahamu wa biashara kabla hujaanza. Jifunze kwa vitendo kwanza.
 
ha ha ha.. Chambo au angesema nchi jirani na tanzania au mpakan na tanzania, rudi mapema kabla shughuli ya uchimbaji mafuta haujaanza
Malawi sio nje ya nchi...ni nje ya Tanzania!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom