Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakua muongo huyo,kapewa mshiko na mtandao wa Trump
Chotara maana yake ni mchanganyiko wowote ule wa rangi tofauti, hivyo kama Baba yake ni Mzungu na Mama yake ni mweusi basi ni Mchotara wa Kiafrika na Kizungu!
Jamani msitake kumzulia kijana wa watu, madai haya yalikuwepo kwa miaka mingi tu hata kabla ya Clinton a jawa Rais - mleta mada aneweka picha mbili tu lakini mimi niliwahi kuona picha zaidi ya ishirini tangu yupo mtoto mdogo mpaka utu uzima, huyu kijana anamfanana sana Clinton kwa sura tofauti ni nywele na kwa mbali ragi ya ngozi - lakini mambo mengine ni copyright kabisa. Na mama yake alieleza walivyo kutana na Clinton wakati huo akiwa na Governor wa Arkansas.
Hilo suala Clinton uwa analikwepa sana!! Siku moja waliwahi kudai kwamba sample zilikuwa contaminated kwa hiyo majibu ni fifty fifty hawajui ukweli ni hupi hasa - we fikiria watu walivyo wa ajabu, hata kusema warudie tena kuchukua sample ili wazipime upya ilishindikana.Ingawa kipindi cha uchaguzi kuna mambo mengi yanaibuka, ni lazima kuwa waangalifu katika kupokea taarifa na kuzifanyia kazi. Mzee Clinton anaweza kujitokeza na kupima DNA ili kuupata ukweli.
Nilidhani unaongelea wa hapa Bongo kumbe Sauzi!!?? Utashangaa hawa watoto wa kuchepuka walivyojikopi. Ila uzuri wa Afrika haya mambo hayana mashiko tunaona ya kawaida sana, kwa wenzetu ni gumzo wakati sisi watoto ni mtaji.Huyu bill Clinton ni kama rais Fulani wa africa ambae mstaafu kwa sasa.huyu jamaa alizaliwa bila kichwa akawekewa dAfu baadae akawa rais huko africa kusini mwa jangwa la sahara
Jamaa anazuga ila ukweli utabaki kama ulivyoHilo suala uwa analikwepa sana!! Siku moja waliwahi kudai kwamba sample zilikuwa contaminated kwa hiyo majibu ni fifty fifty hawajui ukweli ni hupi hasa - we fikiria watu walivyo wa ajabu, hata kusema warudie kuchukua sample ili wazipine upya ilishindikana. Watu wengine wajandgauru huyo kijana na,mama yake kwamva,wamuombe Monica Lewinsky awapatie skirt aliyo dai Clinton aliacha sample za mbegu zake wakati wanafanya
mambo ya oral Se..., sasa sijui Monica aliwajibu nini? Mambo haya yalianza muda mrefu, wapambe wa Hillary wasitake
Bado haujaacha tu chuki zako dhidi ya watu aina ya akina Obama? Maana sijui walikufanya nn watu wa aina hii?!Chotara maana yake ni mchanganyiko wowote ule wa rangi tofauti, hivyo kama Baba yake ni Mzungu na Mama yake ni mweusi basi ni Mchotara wa Kiafrika na Kizungu!