Yeye haoni mpaka ashauriwe? Unajua wakati mwingine ukiwa Kiongozi wa familia Kuna baadhi ya mambo hayaitaji watoto waoengee ndiyo ufanye.. automatically tu unayatimiza kama sehemu ya wajibu wako.
Honestly tangu huyu Samia aingie madarakani sijawai ona jema lake hata Moja, hotuba zake zote ni kichefuchefu, sidhani kama anajua wajibu wake ni upi? Kama Rais wa nchi..