Moto ni mkali😀KIJANA Mzalendo, David Nkindikwa ameitaka Mamlaka inayohusika kuchunguza uraia wa Waziri Hussein Bashe akidai kuwa Chama cha Mapinduzi Mwaka 2010 kilimkata jina lake kwa tuhuma za kutokuwa raia wa Tanzania..
Sikiliza kwa makini Clip hii Kijana Mzalendo ameongea mambo mengi machafu kuhusu Bashe
View: https://youtu.be/jdRnOFLRNY4?si=rCIHfHAYSBhrdhY5
😀😀CCM nambari Wani
Nchi haina mwenyewe hakuna mwenye haki miliki ni shamba la bibi....KIJANA Mzalendo, David Nkindikwa ameitaka Mamlaka inayohusika kuchunguza uraia wa Waziri Hussein Bashe akidai kuwa Chama cha Mapinduzi Mwaka 2010 kilimkata jina lake kwa tuhuma za kutokuwa raia wa Tanzania..
Sikiliza kwa makini Clip hii Kijana Mzalendo ameongea mambo mengi machafu kuhusu Bashe
View: https://youtu.be/jdRnOFLRNY4?si=rCIHfHAYSBhrdhY5
......pia mwingine chawa anagalala...na ueye sio raia...anatumika mamlaka ujajusi nchi jirani....acha wamchekee watavuna walichopandaNchi haina mwenyewe hakuna mwenye haki miliki ni shamba la bibi....
CCM ukiiunga mkono tayari una sifa ya kuwa raia, tujikumbushe kilichompata Remmy Ongala walipotaka kumfukuza nchini lakini wakamsamehe alipounga juhudi za CCM.KIJANA Mzalendo, David Nkindikwa ameitaka Mamlaka inayohusika kuchunguza uraia wa Waziri Hussein Bashe akidai kuwa Chama cha Mapinduzi Mwaka 2010 kilimkata jina lake kwa tuhuma za kutokuwa raia wa Tanzania..
Sikiliza kwa makini Clip hii Kijana Mzalendo ameongea mambo mengi machafu kuhusu Bashe
View: https://youtu.be/jdRnOFLRNY4?si=rCIHfHAYSBhrdhY5
Kujua kiswahili siyo kigezo, mikoani watu wazima wengi hawajui kiswahili kabisa, huyo hana tofauti na Rage wazazi wssomali waliokuja Tabora kufanya biashara ya ngozi na ng'ombe.Huyu mjinga hata kiswahili hajui inaweza kuwa yy ndio uchunguzwe siku hz kila mtu anakuja mbele ya tv ujinga ru
Huyunni mume wa mtu
Bashe ni raia halali wa tanzania,amezaliwa nzega na wazazi wake wote ni raia wa tanzania na wana vyeti vya uraia na walibadili uraia wa somalia hata kabla hajazaliwa,anazaliwa namuona na wazazi wale nawafahamu,mambo ya siasa mimi siyajui lakini suala la uraia wake nalijua vizuri sanaKIJANA Mzalendo, David Nkindikwa ameitaka Mamlaka inayohusika kuchunguza uraia wa Waziri Hussein Bashe akidai kuwa Chama cha Mapinduzi Mwaka 2010 kilimkata jina lake kwa tuhuma za kutokuwa raia wa Tanzania..
Sikiliza kwa makini Clip hii Kijana Mzalendo ameongea mambo mengi machafu kuhusu Bashe
View: https://youtu.be/jdRnOFLRNY4?si=rCIHfHAYSBhrdhY5
Inafahamika wewe ni chawa wa Bashe toka anaanza harakati zake za siasa. Nani akuamini wewe!?Bashe ni raia halali wa tanzania,amezaliwa nzega na wazazi wake wote ni raia wa tanzania na wana vyeti vya uraia na walibadili uraia wa somalia hata kabla hajazaliwa,anazaliwa namuona na wazazi wale nawafahamu,mambo ya siasa mimi siyajui lakini suala la uraia wake nalijua vizuri sana
Weka uthibitisho.Bashe ni raia halali wa tanzania,amezaliwa nzega na wazazi wake wote ni raia wa tanzania na wana vyeti vya uraia na walibadili uraia wa somalia hata kabla hajazaliwa,anazaliwa namuona na wazazi wale nawafahamu,mambo ya siasa mimi siyajui lakini suala la uraia wake nalijua vizuri sana
bashe anaanza siasa mimi nilikuwa marekani bro but namjua viziri sana,marehemu baba yake namjua na mama yake namjua vizuri,lakini mimi sipo kabisa kwenye siasaInafahamika wewe ni chawa wa Bashe toka anaanza harakati zake za siasa. Nani akuamini wewe!?
Tangia lini raia wa Tz wakafanana na wasomali?Bashe ni raia halali wa tanzania,amezaliwa nzega na wazazi wake wote ni raia wa tanzania na wana vyeti vya uraia na walibadili uraia wa somalia hata kabla hajazaliwa,anazaliwa namuona na wazazi wale nawafahamu,mambo ya siasa mimi siyajui lakini suala la uraia wake nalijua vizuri sana
Raia halisi wa Tanzania anafananaje kwani??....kwa kauli yako hii inabidi Sasa raia wte wenye asili ya kisomali...kiarabu...kihindi...kihutu...kitutsi....na asili zingine ZTE zinazodhaniwa sio za kitanzania inabidi wafukuzwe nchini....maana hawana asili halisi ya kitanzania...au sioTangia lini raia wa Tz wakafanana na wasomali?
Uchawa usikutoe akili
Naunga mkono, kwa kweli hata mimi nina mashaka sana na huyu dogoKIJANA Mzalendo, David Nkindikwa ameitaka Mamlaka inayohusika kuchunguza uraia wa Waziri Hussein Bashe akidai kuwa Chama cha Mapinduzi Mwaka 2010 kilimkata jina lake kwa tuhuma za kutokuwa raia wa Tanzania..
Sikiliza kwa makini Clip hii Kijana Mzalendo ameongea mambo mengi machafu kuhusu Bashe
View: https://youtu.be/jdRnOFLRNY4?si=rCIHfHAYSBhrdhY5