Kijana Mzalendo aomba uraia wa Bashe uchunguzwe

Huyo kijana ni mjinga. Urais wa mtu unahojiwa Uhamiaji au Mahakamani. Aende huko.
After all, yeye mtoa hoja ana uhakika kuwa yeye ni Mtanzania?
 
Ww ni Salim yule diwan chawa wake?
 
CDF alishasema hadharani! Mimi ni nani mpaka nipinge?
 
Kama ni kweli basi Hii inadhihirisha ubutu na kupwaya kwa idara yetu ya usalama wa taifa na ujasusi tiss.

Mpaka raia wa kigeni hasiye mtanzania halisi anateuliwa na kupewa uongozi wa juu wa nchi, na idara ya usalama wa taifa ipo na haijui wala haina taarifa nae, hapo kuna shida mahali, na udhaifu mkubwa kwenye idara hiyo!
 
Bashe ni Msomali, lkn hiyo haimuondolei haki ya kuwa raia wa Tanzania kama amefuata sheria na tatatibu zote
 
Kama mnamashaka na uraia wa Bashe kutokana na muonekano wake basi mumtilie shaka na Bakhresa na Mo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…