Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kijana mzalendo David Nkindikwa amepinga vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chini ya Mwenyekiti wake ngazi ya taifa Tundu Lissu kuhusu msimamo wa "No Reform, No Election", inayoashiria kuwa hakutakuwa na uchaguzi bila mageuzi ya mfumo wa uchaguzi, akisisitiza kuwa uchaguzi lazima ufanyike kwa mujibu wa Katiba ya nchi.
Soma Pia: Tundu Lissu: Kauli ya No Reform No Election hatujasema tunasusia Uchaguzi. Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa
Soma Pia: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Nkindikwa amesema ingawa anaunga mkono madai ya maboresho ya mfumo wa uchaguzi, kupinga kufanyika kwa uchaguzi ni sawa na kuvunja Katiba, ambayo inaelekeza kuwa uchaguzi lazima ufanyike kwa mujibu wa ratiba iliyopangwa kikatiba.