Pre GE2025 Kijana mzalendo David Nkindikwa apinga vikali kauli ya CHADEMA ya 'No Reform, No Election'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Kijana mzalendo David Nkindikwa amepinga vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chini ya Mwenyekiti wake ngazi ya taifa Tundu Lissu kuhusu msimamo wa "No Reform, No Election", inayoashiria kuwa hakutakuwa na uchaguzi bila mageuzi ya mfumo wa uchaguzi, akisisitiza kuwa uchaguzi lazima ufanyike kwa mujibu wa Katiba ya nchi.

Soma Pia: Tundu Lissu: Kauli ya No Reform No Election hatujasema tunasusia Uchaguzi. Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa

Soma Pia: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025


Nkindikwa amesema ingawa anaunga mkono madai ya maboresho ya mfumo wa uchaguzi, kupinga kufanyika kwa uchaguzi ni sawa na kuvunja Katiba, ambayo inaelekeza kuwa uchaguzi lazima ufanyike kwa mujibu wa ratiba iliyopangwa kikatiba.

Your browser is not able to display this video.
 
..madai na mapendekezo ya Tume Huru ya uchaguzi yamekuwepo tangu mwaka 1993 lakini Ccm wametia pamba masikioni.
Na njia nzuri ni hiyo ya NO REFORM NO ELECTION hakuna njia nyingine zaidi ya kuwasiliana na hawa wanaojitia uziwi.
Ona waliposikia kuwa Chadema wanawasilisha agenda hiyo kwa nchi wahisani wao wanaowapa budget support sasa wameanza kuhaha kama kuku atakaye kutaga for the first time.
Hivi wale wengine wanaotaka kushiriki katika mazingira hayahaya wanategemea ku archive nini?
 
Mpuuzi.
 
Kijana mpumbavu ww unamwita mzalendo unasikitisha sana ww.
 
Safi kabisa na CDM washikilie hapo hapo.
 
Huyo kijana bila shaka ana shida ya akili. Labda ana tafuta uteuzi kutoka kwa yule ajuza.
 
This logical fallacy is called argument from authority.

Katiba ikisema kuwe na uchaguzi lakini milele CCM itangazwe mshindi atakubali hilo jambo kwa sababu katiba imesema hivyo?
 
Title yake????
 
Ninacho fahamu mimi maana ya neno, MZALENDO ni kuwa ni mtu asiyekuwa na uwezo wa kuwapinga viongozi hasa wa CCM (hana ubongo) kwa sasa.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
This logical fallacy is called argument from authority.

Katiba ikisema kuwe na uchaguzi lakini milele CCM itangazwe mshindi atakubali hilo jambo kwa sababu katiba imesema hivyo?
πŸŒ€οΈπŸ™‹β€β™‚οΈβœοΈπŸŽ―πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘ŠπŸ€πŸ™πŸ†’πŸ”Š
 
Jamaa nilikuwa namkubali sana ila katika hili nimemdharau sana. Ameonyesha kiwango kikubwa cha upumbafu. Naamini atakuwa ametumwa,
 
Uko sahihi mkuu
 
Term hii mmepatikana,mwizi mpe funguo za stoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…