Pre GE2025 Kijana mzalendo David Nkindikwa apinga vikali kauli ya CHADEMA ya 'No Reform, No Election'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tabia zote hizi zimesababishwa na mfumo uliopo kwamba ukiwa mnafiki unapata cheo. Ungekuwa na akili timamu ungejibu hoja za Lissu na sio kutuletea uchawa wenye viashiria vya unafiki wa kutaka madaraka.
 
Huyu naye ni kibaka tu
 
huyo takataka atakuwa mzalendo wa tumbo lake
 
Safi kabisa na CDM washikilie hapo hapo.
Na kwa Lissu na Heche upele uko kwa mkunaji, sasa watajua kuwa hawajui.
Ni juu yetu kuwa support tu wasichoke kutuongoza haya mapambano.
Samia anayefurahia mapokezi watu kuwa wengi inaonyesha hatambui kabisa kuwa wingi huo una siri nyingi nyuma yake na wasaidizi wake wanamchezea kama mdoli badala ya kumwambia ukweli siri ni nini!
Inachekesha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…