Kijana mzaliwa wa kenya aolewa kishoga South Africa

Kijana mzaliwa wa kenya aolewa kishoga South Africa

Hii ndo tatizo la kuwa kinara kwa kila kitu kenya riadha yao biashara zao mabilionea kilimo na ufugaji wazo sana mita ndio yenye akili wao sasa sis hangar hata hapa wakiwa ndo vinara wao

Nani kasema ni tatizo kuwa kinara wa kila kitu, mjitahidi na nyie muache kuwa ovyoo bila kujulikana kwa lolote.
 
Nani kasema ni tatizo kuwa kinara wa kila kitu, mjitahidi na nyie muache kuwa ovyoo bila kujulikana kwa lolote.
Kqahiyo hata ukinara wa ushoga poa tu sawa nimekuelewa wacha sisi tutafute niche yetu tutokamo
 
Kqahiyo hata ukinara wa ushoga poa tu sawa nimekuelewa wacha sisi tutafute niche yetu tutokamo

Lazima mtajwe hata kwa moja jameni, hamna kitu cha ovyoo kama uzaliwe, uishi kisha ufe na kuzikwa bila kuwahi kutajwa na gazeti hata la umbea kitaani.
Mjifunze kujimwambafy...hehehe
 
Back
Top Bottom