Duh kweli maisha bora kwa kila mtanzaniahuyo siyo kwanza cha turin,mke wa mtu na bado hachezeshi!mtupe tu!kuna dada zako mitaa flani wakali,siyo wazee,kisu kipo halafu full kuchezesha kama sura mauzo na body mwake ni PM nikutupie mmoko!
Nyani Ngabu said:Alaaa!! Basi komaa mwana. Ongeza juhudi katika mambo ya sita kwa sita, kuwa 'romantic' zaidi, na mfurahishe kwa lolote atakalo na utafikia malengo yako. Hilo jimama ni fursa ya dhahabu!
NN, bundle ikiisha nishtue mkuu, 2mtoe kijana
Heshima mbele wana jamvi!. Hii ni true story na siyo tungo.
Ni mara chache sana huwa napita kwenye jukwaa hili la MMU....jukwaa la siasa ndiyo maskani yangu hasa.
Ila kutokana na issue ambayo inanichanganya kidogo,nimeona si mbaya kwa leo nikipita huku ili kupata maoni kidogo juu ya swala hili.
Binafsi mie ni kijana,siko chini ya miaka 29 na sijafikia miaka 35. Kama mnavyojua mambo ya mjini katika mizunguko ya hapa na pale
siku moja nikakutana na lijimama (mke wa mzito fulani) yaani ni lijimama la nguvu,limepanda hewani,maji ya kunde. Umri wake nahisi ata
kuwa kwenye 55 au 60. Tokea tumeanza mahusiano huu ni mwezi kama wa 7 hivi, lakini kitu ambacho kinanisikitisha ni hubahiri wa huyu
mama kwenye pesa. Yaani ananipeleka kwenye hotel za bei na analipia room kuanzia elfu 50 hadi 80,nakula na kunywa ninachokitaka na
analipa bili yote! lakini linapokuja swala la kumuomba anisaidie pesa kiasi fulani' basi hapo huwa mbogo na mkali....na hiyo pesa hanipi.
Kama kujituma tuwapo kwenye 6x6 najituma sana hadi mwenyewe anaridhika,lakini likija swala la mimi kutaka pesa mama anakuwa bahili.
Sasa najiuliza, maisha haya mpaka lini? ukizingatia kitu ninachokifanya ni zambi kwa mungu! na mke wa mtu ni sumu. Lakini majuzi kaniam
bia eti kuna kitu cha maana sana atanifanyia na nitafurahi sana....lakini simwamini kutokana na ubahili wake (lakini ni family yenye mshiko)
Naombeni ushahuri wenu jamani! - Je ni kweli iko siku atanitoa au ananitumia tu kama condom?.
wewe ni chademaheshima mbele wana jamvi!. Hii ni true story na siyo tungo.
Ni mara chache sana huwa napita kwenye jukwaa hili la mmu....jukwaa la siasa ndiyo maskani yangu hasa.
ila kutokana na issue ambayo inanichanganya kidogo,nimeona si mbaya kwa leo nikipita huku ili kupata maoni kidogo juu ya swala hili.
Binafsi mie ni kijana,siko chini ya miaka 29 na sijafikia miaka 35. Kama mnavyojua mambo ya mjini katika mizunguko ya hapa na pale
siku moja nikakutana na lijimama (mke wa mzito fulani) yaani ni lijimama la nguvu,limepanda hewani,maji ya kunde. Umri wake nahisi ata
kuwa kwenye 55 au 60. Tokea tumeanza mahusiano huu ni mwezi kama wa 7 hivi, lakini kitu ambacho kinanisikitisha ni hubahiri wa huyu
mama kwenye pesa. Yaani ananipeleka kwenye hotel za bei na analipia room kuanzia elfu 50 hadi 80,nakula na kunywa ninachokitaka na
analipa bili yote! Lakini linapokuja swala la kumuomba anisaidie pesa kiasi fulani' basi hapo huwa mbogo na mkali....na hiyo pesa hanipi.
Kama kujituma tuwapo kwenye 6x6 najituma sana hadi mwenyewe anaridhika,lakini likija swala la mimi kutaka pesa mama anakuwa bahili.
Sasa najiuliza, maisha haya mpaka lini? Ukizingatia kitu ninachokifanya ni zambi kwa mungu! Na mke wa mtu ni sumu. Lakini majuzi kaniam
bia eti kuna kitu cha maana sana atanifanyia na nitafurahi sana....lakini simwamini kutokana na ubahili wake (lakini ni family yenye mshiko)
naombeni ushahuri wenu jamani! - je ni kweli iko siku atanitoa au ananitumia tu kama condom?.
Heshima mbele wana jamvi!. Hii ni true story na siyo tungo.
Ni mara chache sana huwa napita kwenye jukwaa hili la MMU....jukwaa la siasa ndiyo maskani yangu hasa.
Ila kutokana na issue ambayo inanichanganya kidogo,nimeona si mbaya kwa leo nikipita huku ili kupata maoni kidogo juu ya swala hili.
Binafsi mie ni kijana,siko chini ya miaka 29 na sijafikia miaka 35. Kama mnavyojua mambo ya mjini katika mizunguko ya hapa na pale
siku moja nikakutana na lijimama (mke wa mzito fulani) yaani ni lijimama la nguvu,limepanda hewani,maji ya kunde. Umri wake nahisi ata
kuwa kwenye 55 au 60. Tokea tumeanza mahusiano huu ni mwezi kama wa 7 hivi, lakini kitu ambacho kinanisikitisha ni hubahiri wa huyu
mama kwenye pesa. Yaani ananipeleka kwenye hotel za bei na analipia room kuanzia elfu 50 hadi 80,nakula na kunywa ninachokitaka na
analipa bili yote! lakini linapokuja swala la kumuomba anisaidie pesa kiasi fulani' basi hapo huwa mbogo na mkali....na hiyo pesa hanipi.
Kama kujituma tuwapo kwenye 6x6 najituma sana hadi mwenyewe anaridhika,lakini likija swala la mimi kutaka pesa mama anakuwa bahili.
Sasa najiuliza, maisha haya mpaka lini? ukizingatia kitu ninachokifanya ni zambi kwa mungu! na mke wa mtu ni sumu. Lakini majuzi kaniam
bia eti kuna kitu cha maana sana atanifanyia na nitafurahi sana....lakini simwamini kutokana na ubahili wake (lakini ni family yenye mshiko)
Naombeni ushahuri wenu jamani! - Je ni kweli iko siku atanitoa au ananitumia tu kama condom?.
<br /><b>wewe ni chadema</b>