mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 627
- Thread starter
- #181
Yaani mkuu huwezi amini....pindi nikutanapo na huyu mama nakuwa mtiifu na mnyenyekevu,mara nyingi huwa napenda kumwita jina la madam (mwenyewe anafurahi sana pindi nimuitapo hivyo!) So kwa vile this time kaniambia kunakitu atanifanyia,nimeamua kuwa mpole na ninasubiri mwisho wa picha. Ila ikipita miezi miwili hajanitoa! basi nalala mbele!Alaaa!! Basi komaa mwana. Ongeza juhudi katika mambo ya sita kwa sita, kuwa 'romantic' zaidi, na mfurahishe kwa lolote atakalo na utafikia malengo yako. Hilo jimama ni fursa ya dhahabu!