Kijana najituma sana kwa huyu mama, lakini bahili!

Kijana najituma sana kwa huyu mama, lakini bahili!

Hujakosea mkuu! si unajua hizi familia bora za masaki na mikocheni? chochote kinawezekana kati ya hivi vitu 2. Usikute wamechokana au mzee ana dogodogo au nyumba ndogo mpya. Kuna siku huyu mama aliniambia tokea huu mwaka uanze wamekutana na mzee mara 2 tu kwenye tendo la ndoa! Sasa hapo unategemea nini mkuu?
Unampenda huyo kikongwe wako,usimdhalilishe bure, pesa sijui unataka ya nini na wewe wafanya kazi,ridhika na kile ulicho nacho kijana yatakutokea puani

Unampenda huyo kikongwe wako,usimdhalilishe bure, pesa sijui unataka ya nini na wewe wafanya kazi,ridhika na kile ulicho nacho kijana yatakutokea puani

Pesa ya nini? Hiyo pesa si ni extra income....au hutaki Mshikachuma awe tough in wallet?

Hujakosea mkuu! si unajua hizi familia bora za masaki na mikocheni? chochote kinawezekana kati ya hivi vitu 2. Usikute wamechokana au mzee ana dogodogo au nyumba ndogo mpya. Kuna siku huyu mama aliniambia tokea huu mwaka uanze wamekutana na mzee mara 2 tu kwenye tendo la ndoa! Sasa hapo unategemea nini mkuu?
Halafu nishakujua mshikachuma ngoja kesho ofisini

Pesa ya nini? Hiyo pesa si ni extra income....au hutaki Mshikachuma awe tough in wallet?
Ye si kasema handsome, pesa inaenda kwa mwenye simple look tu, anatofauti gani na wale machangu wanaojiuza? na angekuwa anataka pesa angeshasepa hapo kuna kingine anafaidi hawaambii tu

Subiri tu mmewe astukie mchezo akufumue na bomba(mguu wa kuku) kichwani(Peel ur cap)....Ehhhh MAriooooooooooo Jitume Mariooooooo

kufaidi mfaidi wote halafu mmama akulipe? Tena Akukamue zaidi akuache bila hata hela ya sabuni!

mshika chumaaaaaaaa......hivi hiyo age ya 55-60 huyo mama yuko fiti kiaje...anayawea mambo kweli mbona umri huo umemtupa mkono sana........anaweza kutikisa kweli mkuu......

NB:aliwah kukwambia ana watot
o wangapi?...
Mkuu hapo kwenye bold siwezi kumwanika hapa,itakuwa nimevukisha mipaka.
Ila kwa upande wa watoto ana wawili tu....si unajua hizi familia bora huwa awazai sana kama siye wengine?

Ye si kasema handsome, pesa inaenda kwa mwenye simple look tu, anatofauti gani na wale machangu wanaojiuza? na angekuwa anataka pesa angeshasepa hapo kuna kingine anafaidi hawaambii tu

Mwenyewe kasema wana wine and dine halafu kaahidiwa zawadi. Jimama na lenyewe janja hilo...usikute limeshapiga mahesabu likaona huenda Mshikachuma anaweza kusepa wakati wowote hivyo limekuja na gia ya zawadi ili kumfanya jamaa aendelee kuwepo akisubiri hiyo zawadi...

Heshima mbele wana jamvi!. Hii ni true story na siyo tungo.

Ni mara chache sana huwa napita kwenye jukwaa hili la MMU....jukwaa la siasa ndiyo maskani yangu hasa.
Ila kutokana na issue ambayo inanichanganya kidogo,nimeona si mbaya kwa leo nikipita huku ili kupata maoni kidogo juu ya swala hili.
Binafsi mie ni kijana,siko chini ya miaka 29 na sijafikia miaka 35. Kama mnavyojua mambo ya mjini katika mizunguko ya hapa na pale
siku moja nikakutana na lijimama (mke wa mzito fulani) yaani ni lijimama la nguvu,limepanda hewani,maji ya kunde. Umri wake nahisi ata
kuwa kwenye 55 au 60. Tokea tumeanza mahusiano huu ni mwezi kama wa 7 hivi, lakini kitu ambacho kinanisikitisha ni hubahiri wa huyu
mama kwenye pesa. Yaani ananipeleka kwenye hotel za bei na analipia room kuanzia elfu 50 hadi 80,nakula na kunywa ninachokitaka na
analipa bili yote! lakini linapokuja swala la kumuomba anisaidie pesa kiasi fulani' basi hapo huwa mbogo na mkali....na hiyo pesa hanipi.
Kama kujituma tuwapo kwenye 6x6 najituma sana hadi mwenyewe anaridhika,lakini likija swala la mimi kutaka pesa mama anakuwa bahili.
Sasa najiuliza, maisha haya mpaka lini? ukizingatia kitu ninachokifanya ni zambi kwa mungu! na mke wa mtu ni sumu. Lakini majuzi kaniam
bia eti kuna kitu cha maana sana atanifanyia na nitafurahi sana....lakini simwamini kutokana na ubahili wake (lakini ni family yenye mshiko)

Naombeni ushahuri wenu jamani! - Je ni kweli iko siku atanitoa au ananitumia tu kama condom?.

KUMBUKA:

1. ww una lengo fulani na huyo mama( la kula pesa), na wakati yy ana lengo la starehe na ww. hence its a noncoincidence of objectives, hamtofika mbali, soon mtakamatwa tu.

2. Mke wa mtu ni sumu awe wa KIGOGO au wa KIGODA, Ukishikwa ujue na wewe utashikishwa UKUTA. What goes around comes around. hv umeoa ww? Unajua uchungu wa MKE? chukulia ndio ww ni kigogo fulani, then mkeo ANAPUMULIWA na mtu mwingine. Uchungu wake ni mkubwa kuliko wa M/ke anaezaa.

3. Dunia ya ss wanaumwe hawajisifii kuchapa madem wa hadhi gani au wenye vyeo gani....Issue ni kuwa inabidi uwe muangalifu na maisha yako,stick to the one.........., magonjwa ni mengi sana.

CHUKUA HATUA

Katika mpango kama huo anayemhitaji mwenzie zaidi ni jimama ambalo limeacha mume na kwenda kujivinjari na dogodogo la sivyo lisingekuwa linamhitaji dogodogo Mshikachuma lingebaki na mumewe.

Mshikachuma bado ni janki...halihitaji kihivyo hilo lijimama ambalo usikute ngozi yake ishaanza kupata makunyanzi na hivyo halivutii kihivyo!

Ni kweli wanasaidiana lakini kuna mmoja kati yao ambaye anauhitaji msaada wa mwenzie zaidi. Mshikachuma anaweza kabisa kuchukua dogodogo mwenzake bila wasiwasi wowote (kama hafanyi hivyo tayari). Lakini hilo jimama unadhani market value yake iko juu kihvyo na umri lilionao? Asilani. So go figure!

Mshikachuma anachotakiwa kufanya ni kutolipa muda mwingi hilo jimama halafu aone litafanyaje. Mimi nahisi lenyewe litalegeza msimamo.

Ni wazi huyo bibi ndo muhitaji, ila kwa mshikachuma kuwa readily available whenever he is needed ni tatizo pia....
Hebu ajipandishe bei, siku libibi likimwita auchune aone kama hajaulizwa anataka nini? ....lol!

Daah huyo bibi wa mshikachuma safi sana....hii ndo dawa ya viserengeti boys vipenda miteremko!

Mwenyewe kasema wana wine and dine halafu kaahidiwa zawadi. Jimama na lenyewe janja hilo...usikute limeshapiga mahesabu likaona huenda Mshikachuma anaweza kusepa wakati wowote hivyo limekuja na gia ya zawadi ili kumfanya jamaa aendelee kuwepo akisubiri hiyo zawadi...
Aendelee kusubiria zawadi kama atapata, kama anazitaka aanze kumwambia sasa sio anaenda tu ,halafu NN unatetea sana na wewe umekamatika nini

Ni wazi huyo bibi ndo muhitaji, ila kwa mshikachuma kuwa readily available whenever he is needed ni tatizo pia....
Hebu ajipandishe bei, siku libibi likimwita auchune aone kama hajaulizwa anataka nini? ....lol!

Ooh yeah..jamaa anachotakiwa kufanya ni ajifanye yuko bize...jimama lazima litalegeza msimamo

Daah huyo bibi wa mshikachuma safi sana....hii ndo dawa ya viserengeti boys vipenda miteremko!

Mpaka hapo walipo Mshikachuma ndo anayefaidi zaidi. Maana jimama linam-wine and dine...linalipia vyumba vya hoteli na usikute hata usafiri linatoa. Kwa jinsi nilivyomsoma Mshikachuma ni kwamba yeye hagharimiki kwa chochote kile zaidi ya kumega.

Anachotaka cha ziada ni cash money. Kwa hiyo unaweza ukaona kuwa linachofanya jimama kuwa ni safi lakini ukienda kwa kina zaidi unaona bado kuwa anayefaidika zaidi bila kuingia gharama kubwa katika huo mpango (kwa sasa) ni Mshikachuma.

Kama mtoto wa kiume unapenda kufanyiwa vitu basi achana nae huyo, nina bussiness patner wangu ana asili ya kiarabu ana show room ya magari, kama uko interested basi atakupa Toyota Cresta GX 110, yeye ni mpenzi wa vijambio vya wanaume vya wanawake hana mpango navyo.
Tafakari kama shida yako ni kufanyiwa mambo mazuri basi mchuma huo upo show room. niMP nikuunganishie dili hilo.

tehe the tehe! bhabha bhaha! nadhani huo ndoushauri anaositahili!

Ooh yeah..jamaa anachotakiwa kufanya ni ajifanye yuko bize...jimama lazima litalegeza msimamo

Mpaka hapo walipo Mshikachuma ndo anayefaidi zaidi. Maana jimama linam-wine and dine...linalipia vyumba vya hoteli na usikute hata usafiri linatoa. Kwa jinsi nilivyomsoma Mshikachuma ni kwamba yeye hagharimiki kwa chochote kile zaidi ya kumega.

Anachotaka cha ziada ni cash money. Kwa hiyo unaweza ukaona kuwa linachofanya jimama kuwa ni safi lakini ukienda kwa kina zaidi unaona bado kuwa anayefaidika zaidi bila kuingia gharama kubwa katika huo mpango (kwa sasa) ni Mshikachuma.

Dining and winning iko ndani ya bajeti ya jimama, kwa hiyo haimpi tabu nahisi(anatumia ili amtumie mshikapembe)

Sasa mshikapembe yeye expectations zake had never been met....so far so bad (lol serengeti boys wakipataga mashuga mami wanajuaga ndo wameshatoka)

kwa hiyo hata ku dine na ku wine bado haoni kama anafaidi

Ooh yeah..jamaa anachotakiwa kufanya ni ajifanye yuko bize...jimama lazima litalegeza msimamo

Mpaka hapo walipo Mshikachuma ndo anayefaidi zaidi. Maana jimama linam-wine and dine...linalipia vyumba vya hoteli na usikute hata usafiri linatoa. Kwa jinsi nilivyomsoma Mshikachuma ni kwamba yeye hagharimiki kwa chochote kile zaidi ya kumega.

Anachotaka cha ziada ni cash money. Kwa hiyo unaweza ukaona kuwa linachofanya jimama kuwa ni safi lakini ukienda kwa kina zaidi unaona bado kuwa anayefaidika zaidi bila kuingia gharama kubwa katika huo mpango (kwa sasa) ni Mshikachuma.
Mkuu kuna rafiki yangu wa jirani sana....baada ya kumpa full story alipenda kumwona huyu mama,na mie siku moja nikamuonesha kiaina na akamjua bila ya huyu mama kushitukia. Wazo alilonipa huyu mshikaji ni eti nimtapeli huyu mama kama ile movie fulani ya kinaigeria....eti nimrecord video kisha nitishie kupeleka kwa mme wake,eti hapo mama ni lazima akate mpunga wa maisha. Kwahiyo bado niko njia panda na roho hainitumi kufanya huo umafia

hebu fanya hivo, mi nilikushauri utuwekee na clip kabisa hapa JF we unafanya ajizi....

Ngoja ukutane na watu walopinda utajuta na kavideo kako.....

Back
Top Bottom