Mkuu kuna baadhi ya watu hapa wanafikiria kuwa mimi nazungumzia laki moja au millioni moja. Mkuu huyu mama na mume wake wana maapartment za kupangisha kama 6 hivi hapa mjini na yote ni ya kufa mtu! na wana mayard ya kuuza magari kama mawili hivi hapa mjini,na miradi hii yote anasimamia huyu mama,kwakuwa mzee yupo busy na mambo ya kioffici.....so ninaposema nahitaji pesa sizungumzii laki moja au millioni moja! kwani hiyo pesa teyari ninayo na si mshamba wa pesa kiasi hicho. Mimi kwa huyu mama nazungumzia pesa kuanzia milllion kadhaa na kuendelea,ili nifanye kitu cha kunitoa kimaisha!