Kijana najituma sana kwa huyu mama, lakini bahili!

Hivi kijana lijali huoni aibu kujiingiza kenye uhusiano ili ujipatie pesa??
akitokea basha wa zenji mwenye mkwanja utapona kweli, kust askin sina nia mbaya
ila inasikitisha sana, kwani huyo mama alikuwa hakufurahishi ni wewe tu ulimfurahisha?

kust askin?????/meaning?????/

Salama sana Mungu anasaidia uporoto, yaani nachukia sana vijana wa aina hii, sijui kwa nn wasijishughulishe na kazi wapate chao
yaani pia wamama watu wazima sana kutembea na watoto nusu umri nao, acha waombwe tu pesa

This guy is take people for a ride story ya kutunga hii.
Mkuu hii si story ya kutunga,hiii ni story ya kweli kabisa. Mkuu kwani hapa cha ajabu ni nini? mbona hivi ni vitu vya kawaida tu hapa mjini jamani?
Jamani mkisikia kuna watu fulani fulani wametoka kimaisha kwa kuwashughulikia mijimama yenye pesa,msikatae ni kweli kabisa. Hiii mijimama ipo
hapa mjini na inapenda sana vijana kama sisi wenye miili na rangi za kiwest Africa....ila mimi kwanza naangalia na mama mwenyewe how she looks na pili je ana ngawira?

Yaani utamu upewe na pesa unataka upewe looo, tafuta zako dogo, ona majisifu tena haya majisifu wanaya
penda kweli watu wa comoro

jambo atakalokufanyia ufurahi atakuletea wanaume wenzio chumbani wakupe raha ...... Huna adabu

mke wa mtu ni hatari
1. uhai wako
2. unahamu ya kuwa LAAZIZI wakikudaka watafumua tiGo

fanya kazi usijisifie UJINGA

Umeona eeh! N people fall for it! But l have enjoyed this a lot! Thanks Mshika.... Nisije nikakosea jina bure!
Mkuu hii story ni ya kweli kabisa! yaani kama nigekuwa na uwezo wa kuanika jina la huyo kigogo (mume wa mama) hakika nyote mngeshituka kwa mshangao wa kufa mtu! lakini kila kitu kina mipaka yake

Mkuu hii story ni ya kweli kabisa! yaani kama nigekuwa na uwezo wa kuanika jina la huyo kigogo (mume wa mama) hakika nyote mngeshituka kwa mshangao wa kufa mtu! lakini kila kitu kina mipaka yake
kwa hiyo ulimwinda ili upate pesa? sasa kama unaona hupewi umeng'ang'ana nini, huna lolote na wewe kakuwezea sana tu

Mkuu hii story ni ya kweli kabisa! yaani kama nigekuwa na uwezo wa kuanika jina la huyo kigogo (mume wa mama) hakika nyote mngeshituka kwa mshangao wa kufa mtu! lakini kila kitu kina mipaka yake

Anika lako kisha u attach na video clip ya jinsi unavojivinjari na limama sukari lako....

Huyo kigogo anahusikaje hapa?....ww vipi bana!

Ndugu huyo mama hawezi kukupa hela sababu anajua utaenda kutesa na videmu vyako na tena utaanza jeuri kwake,je mnamkataba wa muda gani?je gharama ya kuuvunja huo mkataba unaifahamu?vunja mapema na usepe,yatakuja makubwa kaka.

Anika lako kisha u attach na video clip ya jinsi unavojivinjari na limama sukari lako....

Huyo kigogo anahusikaje hapa?....ww vipi bana!

Bht huyu mshikaplastiki anawadangaya watu kwa stori za kutunga

but so far huyo mama pia anastahili sifa...
anakutumia,na pesa hakupi
ameku control na keshajua unataka pesa na kaamua hakupi...
nimemu admire lol

bado mpo mnampa tafu mshika chuma??!!!!

dah...ila huyu mtoto wa kiume balaa.....analilia pesa......hahhah

This guy is takin people for a ride, story ya kutunga hii.

It does not matter kama story ni kweli au ya kutunga, hata kama si mkweli kwake, kaleta idea na watu wana i discuss, si ajabu kutokea kwa wengine.

Ingekuwa kila kitu kinachosemwa ni lazima kiwe personal experience kusingekuwa na mi Pulitzer ya literature.

but so far huyo mama pia anastahili sifa...
anakutumia,na pesa hakupi
ameku control na keshajua unataka pesa na kaamua hakupi...
nimemu admire lol
Kuna mama mmoja lilimkomoa sana kijana kama huyu,alimpa penzi ambalo hajawahi kutana nalo baada ya muda kila akimtafuta hampati akimpata anamwambia hana pesa za hotel, basi kijana akawa anaiba au sijui anapewa kwao anampelekea jimama wanaenda hotel ,akawa kama mtumwa hivi, kwa hiyo vijana wengine wanaingia kwenye mahusiano kwa nia ya kujivunia pesa ila inawageukia kibao mambo hayo,sio kila majani ni mboga

kwa hiyo ulimwinda ili upate pesa? sasa kama unaona hupewi umeng'ang'ana nini, huna lolote na wewe kakuwezea sana tu
Ki ukweli sikumwinda, ila yeye alishoboka mwenyewe tu na body yangu....nakumbuka tulikutana supermarket moja hivi hapa mjini kila mtu akiwa amekuja hapo ki vyake. Kuhusu pesa,hilo si la kuuliza mkuu! hivi mtu mzima kama huyu why anitumie bure? ni lazima akate mkwanja wa maisha ili tuende sawa. Simng'ang'anii ila yeye ndiye ananing'ang'ania sana na ananipenda kupita maelezo.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…