The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
This guy is takin people for a ride, story ya kutunga hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kijana lijali huoni aibu kujiingiza kenye uhusiano ili ujipatie pesa??
akitokea basha wa zenji mwenye mkwanja utapona kweli, kust askin sina nia mbaya
ila inasikitisha sana, kwani huyo mama alikuwa hakufurahishi ni wewe tu ulimfurahisha?

This guy is take people for a ride story ya kutunga hii.
Salama sana Mungu anasaidia uporoto, yaani nachukia sana vijana wa aina hii, sijui kwa nn wasijishughulishe na kazi wapate chaodear salama ? huyu bwana mdogo hataki kukubali kuwa kama kakubali kulelewa na jimama na labda limwache na hali ni mbaya kifedha nini kitazuia alelewe na jibaba lenye hela kama kazoea kulelewa ?
Hataki pia ukweli kuwa mume wa mama akigundua kuna uwezekano wa yeye kukodiwa wahuni kumuondoa bikra ya mtandao tena bila kinga na uwezekano wa kuambikizwa Ukimwi na huyo jimama au hao vijana wa kihuni ?

kust askin?????/meaning?????/
Just askin sorry mkuu upo? nimekumiss twende kulekust askin?????/meaning?????/
Mkuu hii si story ya kutunga,hiii ni story ya kweli kabisa. Mkuu kwani hapa cha ajabu ni nini? mbona hivi ni vitu vya kawaida tu hapa mjini jamani?This guy is take people for a ride story ya kutunga hii.
Mkuu hii story ni ya kweli kabisa! yaani kama nigekuwa na uwezo wa kuanika jina la huyo kigogo (mume wa mama) hakika nyote mngeshituka kwa mshangao wa kufa mtu! lakini kila kitu kina mipaka yake

Umeona eeh! N people fall for it! But l have enjoyed this a lot! Thanks Mshika.... Nisije nikakosea jina bure!
kwa hiyo ulimwinda ili upate pesa? sasa kama unaona hupewi umeng'ang'ana nini, huna lolote na wewe kakuwezea sana tuMkuu hii story ni ya kweli kabisa! yaani kama nigekuwa na uwezo wa kuanika jina la huyo kigogo (mume wa mama) hakika nyote mngeshituka kwa mshangao wa kufa mtu! lakini kila kitu kina mipaka yake

Mkuu hii story ni ya kweli kabisa! yaani kama nigekuwa na uwezo wa kuanika jina la huyo kigogo (mume wa mama) hakika nyote mngeshituka kwa mshangao wa kufa mtu! lakini kila kitu kina mipaka yake

Anika lako kisha u attach na video clip ya jinsi unavojivinjari na limama sukari lako....

Huyo kigogo anahusikaje hapa?....ww vipi bana!
This guy is takin people for a ride, story ya kutunga hii.
Kuna mama mmoja lilimkomoa sana kijana kama huyu,alimpa penzi ambalo hajawahi kutana nalo baada ya muda kila akimtafuta hampati akimpata anamwambia hana pesa za hotel, basi kijana akawa anaiba au sijui anapewa kwao anampelekea jimama wanaenda hotel ,akawa kama mtumwa hivi, kwa hiyo vijana wengine wanaingia kwenye mahusiano kwa nia ya kujivunia pesa ila inawageukia kibao mambo hayo,sio kila majani ni mbogabut so far huyo mama pia anastahili sifa...
anakutumia,na pesa hakupi
ameku control na keshajua unataka pesa na kaamua hakupi...
nimemu admire lol
Ki ukweli sikumwinda, ila yeye alishoboka mwenyewe tu na body yangu....nakumbuka tulikutana supermarket moja hivi hapa mjini kila mtu akiwa amekuja hapo ki vyake. Kuhusu pesa,hilo si la kuuliza mkuu! hivi mtu mzima kama huyu why anitumie bure? ni lazima akate mkwanja wa maisha ili tuende sawa. Simng'ang'anii ila yeye ndiye ananing'ang'ania sana na ananipenda kupita maelezo.kwa hiyo ulimwinda ili upate pesa? sasa kama unaona hupewi umeng'ang'ana nini, huna lolote na wewe kakuwezea sana tu