Kijana najituma sana kwa huyu mama, lakini bahili!

Ungempa kabisa masharti kabla na yeye angejua kama uko kibiashara zaidi kuliko kusubiria miezi yote hiyo

...ila yeye alishoboka mwenyewe tu na body yangu....
Alishoboka ? hahaha! tayari neno hili limetueleza umri wako lol! dogo kama husomi na hauna kazi kuna rafiki kaniambia Holiday inn wanahitaji waosha vyoo na hela sio mbaya na utaendelea na kazi hii ya kuwa malaya wa kiume kwa kujiuza kwa kinamama wa kizungu huwezi juwa wawili wamesha chukuliwa na vibibi vya kizungu wako Ulaya,si mnasemaga afadhali kuzaliwa mbwa ulaya badala ya kuwa Mbongo hahaha!

Ungempa kabisa masharti kabla na yeye angejua kama uko kibiashara zaidi kuliko kusubiria miezi yote hiyo
Ni sawa, lakini mara nyingi munapoanza hisia za mahusiano ya kimapenzi hamuwezi kudiscuss kitu kama hicho! nafikiri hata yeye angenishangaa sana.
Na hapo kwenye bold....si kuwa tunaonana mara kwa mara,kwa mwezi tunaweza onana mara 2 au haizidi 3,tena kwa siri kubwa sana.

Pumbvu kabisa!nahamu mwenyemke akukamate
-moja masaburiyatakatwa seal
-utachezea kipondo
-hutapata chochote
utaathirika kisaikolojia(ambapo hapo ulipo tayari umeathirika coz ulitoka povu ukadhani utapata kitu umeishia kugonga mvinyo)
-na utajuuuuuta kuzaliwa wa kiume we endeleza ujinga huo tu
-hebu chapa kazi acha uchangupaka!!!

subiri tuu kua kisusio cha mwenye mke.....tatizo mitanzania ya leo mnathamini sana pesa kuliko utu..siku zako za kufa zimekaribia kama hautaachana na huyo mama...na pesa za kuhongwa hazimuendelezagi mtu utabaki maskini tuu na kuambulia magonjwa....JITUME KWENYE KAZI SIO KWENYE MWILI WA MTU....afu hizo room za elfu 50 up to 80 bado hadhi yake ndogo sana...nilifikiri utaanzia USD 120 ivi n above piga chini huyo mama.

Hapo kwenye bold mkuu! ni kitu gani usichoelewa hapo? Hivi ukiongea kiswaslang basi wewe ni muhuni na hauna kazi? we ujaona watu wadred rocks kichwani na wanafanya kazi kwenye maofisi ya nguvu? ujaona kule Arusha na mbeya wananchi walivyowachagua mtu kama Mr 2 na yule diwani wa Arusha? uko dunia gani mkuu? Kuhusu wazungu (mie huwa napenda kuwaita vishuka) ukweli vishuka walikua wanalipa zamani lakini si sasa!, nao sasahivi wamekuwa wabongo pure, huko kwao wamekimbia maisha magumu alafu unategemea hapa atakusaidia nini wakati na yeye choka mbaya kama mimi? ki ufupi sina mzuka na vishuka. Kama wewe unaona vishuka ndiyo everything basi hiyo ni kwako,kwangu ni takataka tu

Sasa unaanza kujichanganya,unasema kwa siri kubwa mbona mwanzo umesema mnaenda Zenj kule Nungwi sasa hapo usiri uko wapi ? akikutana na wanaomfahamu kwenye usafiri au hotelini inakuwaje ? nimeanza kuamini hii stori ni ya kufikirika lakini sio mbaya kwakuwa mambo haya hutokea katika jamii.

eti anajupenda kupita kiasi...LOL! Sasa unalalama nn kuwa ni bahili? kwenye upendo wala huhitaji pesa kiivo...
Wewe endelea kutumika bana....

Bht huyu mshikaplastiki anawadangaya watu kwa stori za kutunga

Mwache siku ashikishwe mabua ndo atatia akili, mwenzie Nyeti yake imekuwa chopped kwa mambo haya haya ya kudandia vya wenyewe.

Btw: wanawake si wako wengi? Sasa kwa nn mnabanana kwa wake za watu?

Naona watu mnaendelea kutoka povu, Kazi ni Kwako

Hapo hakuna mapenzi pesa tu inatawala...JE ukisikia mimi nakumegea mkeo utafurahi???mla cha mwenzie na chake uliwa ati....TaFaKaRi kisha chukua hatua

Mkuu hii story ni ya kweli! amini maneno yangu!. Anywayz hapo kwenye Nungwi nafikili niliteleza ulimi! nafikiri nitamwambia mama tubadili hotel

Bht sijui kwa kweli ila mimi huwa nasema mtu unatembea na mke/mume wa mtu siku na wewe mtu akitembea na wa kwako ndio utajifunza, yaani mtu unatembea na mume/mke wa mtu halafu unakuja mbele ya umati wa watu na kujisifu Mungu tusamehe dhambi zetu.

Hapo hakuna mapenzi pesa tu inatawala...JE ukisikia mimi nakumegea mkeo utafurahi???mla cha mwenzie na chake uliwa ati....TaFaKaRi kisha chukua hatua

Hebu acheni kumuandama jamaa peke yake. Huyo adaiwaye ni mke wa mtu naye ni mgawaji ambaye hafai kuwa na sifa ya mke. Je yeye hamuoni uchafu wake (kama ni kweli)?

Mwanamke umeolewa...na katika haya mambo ya kutiana mwanamke ndo mwenye uamuzi wa mwisho ukiondoa kubakwa....sasa kwa nini wewe mke wa mtu umeolewa unakubali kwa hiari yako kummanulia mwanaume mwingine halafu watu wamuone 'yeye' tu yule anayekutia?

Sipendi kabisa hii tabia ya kuwapa pass hawa wanawake wanaotiwa kwa hiari zao halafu lawama zinamwendea mwanaume peke yake.

Kama si Mshikachuma huyo mwanamke angetombwa tu na mwanamme mwingine au wengine kama hafanyi hivyo tayari. Hasara tupu mtu ukiwa mke wa hivyo.

Naona watu mnaendelea kutoka povu, Kazi ni Kwako
Mkuu acha hizo! kwani tatizo liko wapi? kijana mwenzio napata ushauri hapa,nawe pia waweza tia neno lako. Hata hivyo ahsante sana

na inabidi akuwe makini sana, kuna kijiji (jina tunalihifazi), mwanaume alipigwa zoruba mbaya sana, mpaka hivi sasa tunavyoongea njemba inatambaa haiwezi kutembea , madaktari wamesibitisha amevunjwa mafupa ya pelvis na madaktari hao hao waliendelea kuhoji kama jamaa alilawitiwa au alianguka gorofani? maana maeneo ya kiunoni hata X-Ray imegoma kusoma

Wellah welllaaaaah!!! Ngabu nyani! yaani nimeipenda comment yako kupita maelezo!...yaani nashangaa baadhi ya watu wanavyonishambulia hata bila kuangalia upande wa pili wa shilingi! utasema huyo mama mimi namshikia bunduki au kisu!

Wellah welllaaaaah!!! Ngabu nyani! yaani nimeipenda comment yako kupita maelezo!...yaani nashangaa baadhi ya watu wanavyonishambulia hata bila kuangalia upande wa pili wa shilingi! utasema huyo mama mimi namshikia bunduki au kisu!

Hebu niambie kaka...huyo mke wa mtu unambaka au anakupa kwa hiari yake mwenyewe?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…