Kijana nguvu ya mabadiliko

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Posts
4,587
Reaction score
580
Kijana Nguvu Ya Mabadiliko
Ukiwa kijana unatakiwa ubebe jukumu la kuikomboa jamii yako kwa kutumia Nguvu, Uelewa na Elimu uliyoipata. Haina maana kuitwa msomi unayekula na kulala vizuri mijini wakati jamii unayotoka wanalala kwenye ngozi na kula mlo mmoja wa mashaka, Tumia elimu yako ufanye mapinduzi katika jamii yako. tembelea Kijana Nguvu Ya Mabadiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…