MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,840
- 8,202
Kuna kauli za huyu Kijana Makonda akionekana akitamka kwamba kelele nyingi za rushwa zinatokana na njaa kwamba mtu huyo apigae kelele za rushwa akiwekwa jikoni mdomo utajaa mafuta hata piga tena kelele nini tafsiri yake ?
Kwamba hata yeye kaingizwa kwenye mfumo wa mafisadi ( SO SAD)