Vijana mnaoanza maisha hakikisha ndoto yako inatimia mapema iwezekanavyo. Hawa wenza wetu wengi wamejaa maneno ya kukera na kukatisha tamaa sana. Niliwahi kupata demu yeye hataki nifanye mishe za kuingiza pesa (biashara) eti kwa sababu nakutana na wanawake.