OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Kwa mlio wahi kuiona hii filamu ya kikorea mtakubaliana na mimi,
Katika idara ya Usalama wa Taifa kwenye filamu hiyo kunaonekana kuwepo idara nyingine ya usalama wa taifa itwayo NATIONAL SECURITY SERVICE (NSS),
Hii ni idara ya siri inaofisi na miundo mbinu yote, agents wa kutosha na tactical team.
Haitambuliki popote pale ndani ya taifa hilo hata raisi haitambui, lakini ni mali ya serikali
Kazi yake ni kupambana na Tishio lolote la kigaidi au la kimtandao kwa serikali au nchi
Wakuu wake ni wana usalama waliopo NIS na wengine ni wanasiasa
Pia ndani ya NSS kuna kikundi cha kiintelijensia kiitwacho IRIS ambacho kinawanachama wa SOUTH KOREA na NORTH korea, hawa wanachama hawajulikani popote pale lakini wana nguvu na ndio wanaoongoza nchi zote mbili wao ndio huamua mambo yote wayatakayo na wananguvu kweli kweli
Ma raisi wa pande zote mbili hupambana na hivi vikundi kwa woga mkubwa maana hadi ikulu kuna wanachama wa IRIS mipango yote huvuja kabla ya utekelezaji
Kijana aliyetekwa na watu wasiojulikana cha ajabu hata polisi hawakuwa na taarifa
Hii imenikumbusha filamu yangu pendwa ya IRIS
Je matukio ya kutekwa watu licha ya maraisi kumaliza mihura yao je hiki kitendawili kinateguliwa na filamu ya IRIS?