Milale
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 494
- 189
Habari zenu wanajf, Binafsi katika maisha yangu nimepitia changamoto nyingi sana za maisha kama kijana, Vijana tulio wengi tuna mawazo mazuri ila kikwazo kikubwa huwa ni mtaji. kama kijana ni moja ya changamoto nilizozipitia sana miaka 3 iliyopita, ila kwa sasa kupitia Jf nimeweza kupiga hatua fulani, natoa asante kwa waanzilishi wa mtandao huu kwani wengine umesaidia sana kututoa tongo tongo, Binafsi nimefika hapa nilipo sasa kwa kusaidiwa na ninaowajua na nisio wajua.
Leo hii napenda nitumie fursa hii kuwaambia vijana wenzangu kuwa ukifanya kazi kwa bidii na uaminifu utafikia ndoto zako.
Kama wewe ni kijana mweny wazo la biashara na unahisi kuwa ni wazo bora ila kikwazo ni mtaji nipm, mtaji nitatoa mimi kiwango cha mtaji kiwe M1 kushuka chini, Nahitaji vijana 20, uwe DSM.
Biashara utakayoifanya katika faida inayopatinana asilimia 75 ni yako, yangu itakuwa asilimia 25. Kama uko tiyari wasilisha wazo lako na namba yako ya simu PM nitakupigia.
Wenye maswali au maoni na ushari mnaruhusiwa nitajibu hapa hapa.
NB : Kabla hujaja PM hakikisha kuwa wewe ni mwanaminifu.
Sent using Jamii Forums mobile app