Kijana tumia fursa hii kupata mtaji

Kijana tumia fursa hii kupata mtaji

Milale

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
494
Reaction score
189
Habari zenu wanajf, Binafsi katika maisha yangu nimepitia changamoto nyingi sana za maisha kama kijana, Vijana tulio wengi tuna mawazo mazuri ila kikwazo kikubwa huwa ni mtaji. kama kijana ni moja ya changamoto nilizozipitia sana miaka 3 iliyopita, ila kwa sasa kupitia Jf nimeweza kupiga hatua fulani, natoa asante kwa waanzilishi wa mtandao huu kwani wengine umesaidia sana kututoa tongo tongo, Binafsi nimefika hapa nilipo sasa kwa kusaidiwa na ninaowajua na nisio wajua.
Leo hii napenda nitumie fursa hii kuwaambia vijana wenzangu kuwa ukifanya kazi kwa bidii na uaminifu utafikia ndoto zako.

Kama wewe ni kijana mweny wazo la biashara na unahisi kuwa ni wazo bora ila kikwazo ni mtaji nipm, mtaji nitatoa mimi kiwango cha mtaji kiwe M1 kushuka chini, Nahitaji vijana 20, uwe DSM.

Biashara utakayoifanya katika faida inayopatinana asilimia 75 ni yako, yangu itakuwa asilimia 25. Kama uko tiyari wasilisha wazo lako na namba yako ya simu PM nitakupigia.
Wenye maswali au maoni na ushari mnaruhusiwa nitajibu hapa hapa.
NB : Kabla hujaja PM hakikisha kuwa wewe ni mwanaminifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe ni kijana mweny wazo la biashara na unahisi kuwa ni wazo bora ila kikwazo ni mtaji nipm, mtaji nitatoa mimi kiwango cha mtaji kiwe M1 kushuka chini, Nahitaji vijana 20,
uwe DSM.

Mimi hapa mpndwa nina wazo LA kuja kuwa mjasiliamali kupitia biashara ya kuuza mitumba ya watoto na mtaji wangu ni laki nne tu utanitosha na ww utapata hiyo faida yako y asilimia 25% ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wanajf, Binafsi katika maisha yangu nimepitia changamoto nyingi sana za maisha kama kijana, Vijana tulio wengi tuna mawazo mazuri ila kikwazo kikubwa huwa ni mtaji. kama kijana ni moja ya changamoto nilizozipitia sana miaka 3 iliyopita, ila kwa sasa kupitia Jf nimeweza kupiga hatua fulani, natoa asante kwa waanzilishi wa mtandao huu kwani wengine umesaidia sana kututoa tongo tongo, Binafsi nimefika hapa nilipo sasa kwa kusaidiwa na ninaowajua na nisio wajua.
Leo hii napenda nitumie fursa hii kuwaambia vijana wenzangu kuwa ukifanya kazi kwa bidii na uaminifu utafikia ndoto zako.
Kama wewe ni kijana mweny wazo la biashara na unahisi kuwa ni wazo bora ila kikwazo ni mtaji nipm, mtaji nitatoa mimi kiwango cha mtaji kiwe M1 kushuka chini, Nahitaji vijana 20,
uwe DSM.
Biashara utakayoifanya katika faida inayopatinana asilimia 75 ni yako, yangu itakuwa asilimia 25. Kama uko tiyari wasilisha wazo lako na namba yako ya simu PM nitakupigia.
Wenye maswali au maoni na ushari mnaruhusiwa nitajibu hapa hapa.
NB : Kabla hujaja PM hakikisha kuwa wewe ni mwanaminifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mwaminifu, tatizo nipo Dodoma unanisaidiaje jamaa? Number yangu ni 0767358936
 
Nifikilie bwana Milale
 
Niko Dar;mtaji nilihitaji 1mil
Kusafiri mikoani kununua chakula kwa wakulima na kuleta dar
 
Habari zenu wanajf, Binafsi katika maisha yangu nimepitia changamoto nyingi sana za maisha kama kijana, Vijana tulio wengi tuna mawazo mazuri ila kikwazo kikubwa huwa ni mtaji. kama kijana ni moja ya changamoto nilizozipitia sana miaka 3 iliyopita, ila kwa sasa kupitia Jf nimeweza kupiga hatua fulani, natoa asante kwa waanzilishi wa mtandao huu kwani wengine umesaidia sana kututoa tongo tongo, Binafsi nimefika hapa nilipo sasa kwa kusaidiwa na ninaowajua na nisio wajua.
Leo hii napenda nitumie fursa hii kuwaambia vijana wenzangu kuwa ukifanya kazi kwa bidii na uaminifu utafikia ndoto zako.

Kama wewe ni kijana mweny wazo la biashara na unahisi kuwa ni wazo bora ila kikwazo ni mtaji nipm, mtaji nitatoa mimi kiwango cha mtaji kiwe M1 kushuka chini, Nahitaji vijana 20, uwe DSM.

Biashara utakayoifanya katika faida inayopatinana asilimia 75 ni yako, yangu itakuwa asilimia 25. Kama uko tiyari wasilisha wazo lako na namba yako ya simu PM nitakupigia.
Wenye maswali au maoni na ushari mnaruhusiwa nitajibu hapa hapa.
NB : Kabla hujaja PM hakikisha kuwa wewe ni mwanaminifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta kazi yoyote halali ya kuniingizia kipato - JamiiForums

Hii dunia ina watu wenye baati sana mwaka juzi tu ulitaka kazi hata ya ndani leo unagawa pesa
Aloooooh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom