SAFARNDEFU
Senior Member
- Jul 19, 2018
- 179
- 59
Ndugu una wazo la KUJA KUWA au unataka kuwa.?Mimi hapa mpndwa nina wazo LA kuja kuwa mjasiliamali kupitia biashara ya kuuza mitumba ya watoto na mtaji wangu ni laki nne tu utanitosha na ww utapata hiyo faida yako y asilimia 25% ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app