Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Wanaume wengi wamejikuta wameoa wanawake ambao sio size yao. Wengine wakahisi kuachana ndio suluhisho. Ok, kwakuwa hili si tangazo twende kwenye points.
1. Mpigie kwa namba ngeni, kama akianza kwa kuuliza wewe nani? Hapo unaoa mwanamke asiye na akili za kutosha au unamuoa mtu mwenye tabia za Kiswahili. Hana heshima, hana ustaarabu. Na huenda akawa ni malaya.
2. Mpe mchumba/mpenzi wako ahadi kisha usiitekeleze kwa muda ulioahidi. Mfano: Saa nne kamili usiku nitakutumia fedha au nitakurushia vocha, au nitakupigia tuongee au tutachati. Kisha ikitimia muda ulioahidi wewe zima simu lala.
Kesho asubuhi akija juu tu au akileta lawama kabla hajakusikiliza huyo hakufai, kwa lugha nyingine tunasema hakupendi. Ndoa yenu itavunjika haraka au itageuka uwanja wa mabishano.
Nimemaliza