Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
ππNgoja nijaribu nitaleta mrejesho wacha me niwe chambo, msifanye lolote hadi nilete mrejesho kam inafany kaz au lah.
Nimetumia njia hii. Niko kwenye ndoa sasa miaka 5. Kwakweli mambo si mabayaEndelea kuwaza hvyo tu uone kitakachotokea
Mtu unaweza kutimiza kila kitu na mwanaume akaja na point kuwa mbona anatimiza kila sifa au ananiigizia nini huyu unaachwa.Kitu ambacho haujakijua ni kuwa hivi vijamaa huwa havinaga formula mkuu...
Bas huyo ni wako. Kuna manamake yapo kama mbwa za police yana mabwana zaid ya kumi na wote yanajua saut zao ata wakipiga kwa namba mpya anajua huyu ni flan.Nimetumia njia hii. Niko kwenye ndoa sasa miaka 5. Kwakweli mambo si mabaya
Mtu unaweza kutimiza kila kitu na mwanaume akaja na point kuwa mbona anatimiza kila sifa au ananiigizia nini huyu unaachwa.
Upande wa pili nna sista angu ndo tuko kwenye michango ya harusi [emoji2] ana hizo mnazokataa TATTOO 5 zinazoonekana, malaya na mume mtarajiwa anajua hilo, inshort hana tabia yoyote inayoitwa njema.
Ndoa ni bahati/majaaliwa, mwanaume akijaaliwa anaoa tu na hizo fomula hazitatumika