Kijana ukitaka kuoa, oa binti aliyezaliwa miaka ya 2000 hadi 2004

Mpende mkeo ishi nae vizuri ale vizuri mpe haki yake vizuri afurahie kilele,azae kwa nafasi au wtt wachache,aoge apake mafuta mazuri,uone kama atazeeka zaidi mtazeeka pamoja. Sio mnaoa mnawafuja wao ndo wa kuchunga mbuzi hao hao ndo wakamue wapike watwange walime juani ww unadhani ataacha kuzeeka?
 
ukiwa namalengo yafimilia namaendeleo hao ndio wakuoa kwasababu bado hawaja kumbwa namisala mingi. wengine wanakua ni zilo kilomita. lakini Kama nistarehetu unaruka nahawa mabibi ambao washa fika kilomita laki kila kitu wanajua nabado hawaja olewa.
 
Hahahha noma sana
 
Hii ishu hainaga fomyula kbsa mkuu.Kikubwa zaidi kwenye ndoa Ni upendo,wanandoa wakidumisha upendo Kati yao Basi Hakuna lolote litakalowasumbua.Age is just a number.
Formula ipo fikiria kwanini wazee wa zamani walidumu na kuwamudu wake zao kuliko sasa.. utaona somewhere somehow vijana wa sasa tunakosea
 
Baaasi unakua umemaliza
 
Hizi story za mwaka 47!!hazina mashiko kabisa,ukisema kigezo uoe Binti wa mwaka 2000,au uliyemzidi miaka 10+,Wala haisaidii,mabinti wanaanza kubanduliwa wakiwa na miakq 9!!miaka 22 ndio ana mqliza chuo,huko kote amebanduliwa hatari!!
Yapo mashangazi kibao yapo bikira!!
 
Wacha kujifariji ,,

Mtoa mada amezungumzia suala la wanawake kuzeeka haraka,
Ukitaka kubalance unapaswa uoe mwanamke ambaye umemzidi hata Miaka 15
 
Ni kweli kabisa uko sahihi mleta mada.
Hata mimi nipo kwenye wakati wa kuoa,kila nikifikiria nimuoe nani napata wakati mgumu, nadhani nitapost kule jukwaa la love connect..ni muda sasa wa mimi kuwa na mwenza wangu ambae nitazeeka nae pamoja kwa hizi siku zilizobaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…