Kijana ukitaka kuoa, oa binti aliyezaliwa miaka ya 2000 hadi 2004

Kumbe umri mkubwa unaanzia 25😁😁
 
 
kiufupi, ulichoambiwa ndicho ambacho niliambiwa mm juzi tu nilipoenda kwenye sherehe ya rafiki yangu. niliwekwa kikao na wazee wa4 na wte walinisisitiza kuoa, na vigezo ulivyoambiwa ndy hvy hvyo ambvvy na mm niliambiwa....


kuna shiri gani kati ya wazeeeee wetu hawa...
wanasubiri utayar wangu maana hadi familia ya kuoa wameshanionesha
 
hahahhaahhahahahhahahhhhahahhhhaaaaaa, nimeipenda hyo
 
me nataka wa usajili wa E
 
Umegeneralize sana. Nina kaka yangu alikua miaka 3 mbele ya mkewe chuoni. Na alikuwa na mwili wa kawaida tu, 10 years ndani ya ndoa wamezaa mtoto mmoja tu, mkewe ni farhia midley pro max kwa sasa. Kila kitu katika ndoa yao kiko sawa, ila huniambia hana 'appetite' tena na mkewe, amechuja haraka sana. Mwaka huu kaoa mke wa pili ana 24 yrs years kamzidi 16 years.

So, mke pia kuwa na too much sophticated life, wengine huwafanya wachuje haraka.
 
Mhh maybe inategemea na mwili wa mtu
 
Kama mkeo unamtunza vizuri hata ukioa mmepishana mwaka au amekuzidi hawezi kuzeeka. Nimeshtuka apo naona mtu kamzidi mkewe almost miaka 7 na bado wewe na uyo mzee mmekubaliana haitoshi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
All in all kama humtunzi mkeo awe kama unavyotaka utaishia kuoa na kuongeza wanawake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…