Kijana Usifanye Maisha na Aina hii ya Mwanamke!!

Kuna hisia na uhalisia, kihisia upo sahihi, ila kiuhalisia upo wrong mdada.

Maisha tunaishi kwenye uhalisia sio hisia,Kiuhalisia maisha yapo kwenye mfumo wa kubadilika,panda shuka,hivyo lazma uwe na mtu anaeweza kuweka akiba na kuyaelewa maisha.

Ukiwa na mtu wa kufuja tuu, ata kama leo uwe tajiri,amin amin nakuambia,siku mambo yakibadilika na mkapitia nyakati ngumu,lazima ndoa ife, sasa yanini yote hayo.tuishi kwenye uhalisia.
 
Huyo mtu yuko wapiii? Arusha ni moja ya mkoa ambao umeathiriwa sana kwenye maswala ya utalii sababu ya korona. Kwa macho yangu mwaka juzi nilioneshwa familia ambazo mke na mume wameachana sababu hali imekuwa tete. Kila siku ndani ni ugomvi . We muombe sana Mungu unavyopanda hata ukishuka usishuke sana maana atakayekuvumilia ni mamako tu hao wengine wote ni swala la muda tu. Anaweza asikuache lakini ukapatiwa msaidizi na mambo yakawa yanakwenda kibishi.
Mtoto wa kiume tafuta helaaaa ....nasema hiviii tafuta helaa
 
Dah[emoji23][emoji23]we jamaa umeongea ukwel mtupu
 
[emoji23]hela inatafutwa, ila wa kuziheshim na kuzitunza ili tusishuke sana ni mhimu.
 
Umasikini sio wa kuombea...
Masikini hana choices
Mungu naomba Unipe busara nitoke kwenye huu mnyororo wanumasikini maana nitahisi naonewa kumbe chanzo ni umasikini
Wee sio maskini bhana binamu,
ukiwa maskini wewe wengine tushakua marehemu kabisa[emoji4]
 
Wee sio maskini bhana binamu,
ukiwa maskini wewe wengine tushakua marehemu kabisa[emoji4]
🥲🥲unanipima imanii? We haya ila sawa tuu


Kwanza nimekumbuka uripoti kituoni kwangu kabla siku haijaisha...
 
Sawa
 
Carlos halafu ulimwambia ukweli napenda mwanaume mkweli hata aniambie ukweli uniumize lakini amesimama kwenye ukweli wake sasa kutana na wanaume waongo utajuta kwanza hawajiamini kabisa
Acha uongo, wanawake hampendi ukweli, mm nikikuambia direct tuwe na mahusiano ya kut*mbana tu, si utanikataa, hata kama ulikua na mpango wa kunikubali Shunie
 
Mimi nimeanza tayar huku
 
Umezungumza mengi ambayo ni sahihi ,lakini hiyo hoja ya IBADA naona inaweza beba sifa nyingi kwa mwanamke/mwanaume mwenye kufanya IBADA kwa hofu ya Mungu.

hofu ya Mungu na kufanya ibada vinajengwa utotoni , japo kuna vijana wanaodhani kuna muda maalum wa kuanza kufanya ibada.
 
Kweli kabisa Mkuu,umenena vema...msingi waa IBADA huanzia uko chini kwenye malezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…