Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Labda naye kafyatua mahalakuna jamaa yangu mke wake kazalishwa na jamaa ambaye ndio kama baba mwenye nyumba walipopanga,maana ni nyumba ya urithi,mtoto katoka utadhani kapigwa photocopy,lakini jamaa anajifanya haoni,ujinga kama huo sitokaa niufanye kudadeki...
Eti Mama mdogo wewe umepata au umepatikana?[emoji1]Kudhalilishwa au kuugua presha
We nawe umenichekesha [emoji12] [emoji12] [emoji12]Naogopa kishenz kuoa kwa sababu
1. Naogopa kuitwa baba. Majukum ya kulea, kusomesha.
2. Badala hela nayopata nijenge nyumba naishia kulisha familia.
Ujinga tuu.