Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Kijana usikimbilie kuoa eti kwasababu rafiki zako wameoa au unapata shinikizo toka pande fulani!Kumbuka kuoa kuna mambo haya [emoji111] kupata au kupatikana ukipata hakuna tabu hapo ila ukipatikana kuna mambo haya [emoji111],uvumilie au utaliki,ukitaliki hakuna tabu hapo ila ukivumilia kuna mambo haya [emoji111]........
Mwingine aendeleze hapo ushauri kwa vijana
Mwingine aendeleze hapo ushauri kwa vijana