Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Ni kweli mademu siku hizi wanatoa sana zamani ilikuwa lazima uombe tena kwa kubembeleza na kutoa ahadi kubwa kubwa ili kupitishwa huko lakini siku hizi wenyewe wanatoa password hadi raha.
 
To whom are you addressing the Truth here at JF? Nani anataka kusikia hadithi za mambo yako hapa ?That's how you pushing it.


MKUU njia pekee ambayo inaweza kumtoa mtu yoyote kwenye hali Fulani mbaya ambayo ni kinyume na mapenzi ya MUNGU ni Upendo❤️ tu ...... Mfano mateja na hawa mashoga na TABIA zingine za kimwili ambazo ni tofauti kabisa na mapenzi na mpango wa MUNGU kumuumba mwanadamu


Ndicho anacho kifunua huyu jamaa 👉 confession


Hakuna aliyekamilika mkuu


Ndio maana YESU KRISTO alisema kwa yule mama aliekua amezini na wayahudi kutaka kumpiga mawe hadi kufa👇


Yohana

8.7 Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe

👉Anae hukumu na yeye ameshahukumiwa teyari
 
Confession
 
Kwa hiyo mzee wana kuinamisha wajuba wana kushikisha ukuta na kukupumulia kabisaaaa kwenye kiny3o????
 
Nafikiri mnakua mnafanya maamuzi sio sahihi
Pale mnapo amua kufanya regardless of its sideeffects.
Alafu nishawahi shuhudia baadhi yenu wamepona na kusema huwa wanatumika kwa manufaa flani, is that it?
 
Ndo maana sasa wazazi tujaribu sana katika kufuatilia malezi kwa karibu ya watoto wetu. Wamjuwe Mungu na kuwa na maadili mema ili kuepuka huo ushenzi. Maana huko mtaani wapo busy kuhakikisha watoto wanaharibika hii ni VITA ya kiroho.
John trust no one kwa mtoto wako
Not even your blood brothers, your father, school teachers, spiritual leaders, shemejis,
Trust no one and always stay awake.
Teach your kids mapema kutopenda favours or kushikwashikwa, teach them how to report them to you comfortably.
That's all
 
Bro asikudanganye mtu chanzo kikubwa cha vijana kuingia huko ni kuporomoka kwa maadili katika jamii, wazazi kutowajibika katika malezi ya watoto wao. Unadhani kila mtu angekua amenyooka huko mtaani wangepata nafasi ya kueneza huo ufedhuli?


Sasa Mkuu Tatizo ndio teyari limeshatokea na huyo jamaa 👉 confession anasema Tatizo linaongezeka kwa kasi kimya kimya


tunafanye sasa Mkuu kuzuia hili? Kuwatukana na kuwashambulia kwa MANENO ya chuki na lawama Kweli itasaidia?


Hawa watu wanahitaji Upendo na taratibu kuwa elimisha na kuwapa Maarifa ya kujitambua wao ni akina Nani? Na kwanini wapo hapa duniani?


Tutawatoa huko wengi na kuokoa Kizazi hicho kilichopotoka kuliko kuwatupia matusi na lawama Mkuu
 
Tuiwekee hii ki brotherhood.
Unakubali mwanaumwe mwenzako awe anafurahia kufanyiwa hiko kitu, hata kama upingi.
Ni machukizo mbele ya mungu na mbele yetu, mbele ya tamaduni zetu za afrika.
 
Kwanini mnawaattack magay pekee while nyie mnafanya dhambi hizo zilizowashinda kuacha??? Note: sisapoti ushoga anymore.
Nani aliekwambia kuna dhambi? Hakuna dhambi Ila kuna makatazo ya ulimwengu kwamba hiki ufanye na hiki usifanye ili kuwepo na Jamii yenye Amani, Upendo na Furaha bila kua na ghadhabu zozote baina ya mtu na mtu Ila dhambi km dhambi hakuna dhambi

Nina mke Nina Watoto wa kike na kiume sisapoti ushoga Ila Sina haki wala mamlaka ya kuwashambulia vibaya maana kila mmoja ana simulizi yake na maumbile yake kwa hio siwezi kumuhukumu yoyote hayo mamlaka ya kuhukumu mwanadamu ambae sikushiriki hata katika robo ya uumbaji wake sikushiriki hata ku-injinia na ku-design muonekano wake kwenye hii dunia sina mamlaka hayo kwa hio mengine tumuachie Mungu yeye ndio anajua kusudi la Watu wote kuwepo pamoja nasi

Wanasema unapoenda kusomewa hukumu hautohukumiwa kwa makosa ya fulani yaan wewe utahukumiwa kwa makosa yako wewe mwenyewe sasa km mtu anafanya yeye na unajua kabisa ataehukumiwa ni yeye kwanini kusumbuka nae? Hio ndio maana halisi ya usihukumu hautohukumiwa, yaan ukihukumu tunaanza kukuhukumu pale alipoishia kuhukumu wengine Wewe unawasema Hawa je Wewe yule mtoto wa watu wa kike kwanini ulimfanya vile kwanini ulimla TIGO au kwa kua yeye ni Mwanamke amebeba maumbile ya kike ukaona ni sawa kumfanya vile?
 
Daaah !! So sad. Mungu epushia mbali watoto wetu na huu ubazazi
 
Why apende kukaa na nyie while hampo like him ir why awe mnyonge mkiongelea such issues, do you know his story !. Do you think ni rahisi kwake!. I'm gay na sifanyi sex for money but reading this thread at this time of the night imeniumiza a lot
Duh kmmmk unatembea na dipers??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…