Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Why apende kukaa na nyie while hampo like him ir why awe mnyonge mkiongelea such issues, do you know his story !. Do you think ni rahisi kwake!. I'm gay na sifanyi sex for money but reading this thread at this time of the night imeniumiza a lot
There's a lot of gay mamafuckers in this b!tch innit?
 
Wote hao ni kundi moja lkn ajabu hawaoni tabu wala haya kuwanyooshea vidole wanaowaingilia ila hali wao ndio kisababishi namba moja.
Ndio wote Hawa unaowaona HUMU wanapaza Sauti kuhusu hao wanawaingilia Wanawake kinyume na maumbile 99% wote waliocomment kurusha Mawe ukiwauliza watakwambia Mwanamke ni Sawa tu aliwe nyuma si amekula nauli yangu zaidi ya mara 2 kwa hio unakomoa kwa kumuingilia kinyume kufidia nauli?
 
We mama hujambo? Ushoga huu unaufanyia wapi nikutembelee siku moja
Mwisho wa siku kila mtu anazikwa kwenye Kaburi lake peke yake MUNGU fundi hivi yule lesbian aliezaa humu JF anaitwa nani vile sasa hivi mtoto wake atakua ana Mwaka I think naomba Jina lake hapa na yeye alikua anapopolewa Mawe vibaya akaja kuwaambia Washenzi humu sasa yeye ni Mama washenzi Hawa Hawa waliompiga Mawe wakaanza kumpa hongera life is not fair
 
kua sura nzuri mno hakukufanyi kua feminine kuna kufanya tu kua handsome nigga yaan ni guarantee free supply of mbususu ila we ukachagua mkuyenge
Ndio point zao hizo wanazotumia kuupogia chapuo ushoga wait utawasikia tangu utotoni walikuwa na sura ya kike sijui walipenda kucheza na watoto wa kike, mtu yeyote anayezaliwa na mbupu zake Hana sababu yoyote ya kutuaminisha alizaliwa na ushoga wake, hata enzi za sodoma na gomora naamini walikuwa na sababu Kama Hawa tu.
 
😂😂😂 Shemeji uwe unaona hata aibu vitu vingine jamani.!!
Sas si kumtembelea tu kuona kama ni kweli au lah. Kuna watu wanawapigania haki zao hawa mashoga kwa jamii nao hujifanyaga mashoga ili kusimamia point zile. So, nataka kupat accuracy ya hilo. Si kwa ubaya
 
Mwisho wa siku kila mtu anazikwa kwenye Kaburi lake peke yake MUNGU fundi hivi yule lesbian aliezaa humu JF anaitwa nani vile sasa hivi mtoto wake atakua ana Mwaka I think naomba Jina lake hapa na yeye alikua anapopolewa Mawe vibaya akaja kuwaambia Washenzi humu sasa yeye ni Mama washenzi Hawa Hawa waliompiga Mawe wakaanza kumpa hongera life is not fair
Haw nao binadamu tu.. naona watu wanahangaika kusisitiza kuwatenga. Kwan kitumbua si chake? Sisi tuishi nao kama bjnadam wenzet walioamua kuishi tofauti na sisi. Life is still exist in its simplicity nature
 
Sas si kumtembelea tu kuona kama ni kweli au lah. Kuna watu wanawapigania haki zao hawa mashoga kwa jamii nao hujifanyaga mashoga ili kusimamia point zile. So, nataka kupat accuracy ya hilo. Si kwa ubaya
Mhm.!! Wewe shem sema una lako jambo usizuge, huyo mbona kajiweka wazi yy ni shoga na maelezo yote katoa.
 
Alafu huwezi amini kuna wasenge wanatoa bure hata siyo mpaka pesa.

Niliwahi tongozwa na shoga mwaka 2016 nikataka nimpeleke police

Screenshot_20240630_115746_Messages.jpg

Hili dogo nili likuta dukani home, nilienda nunua kitu.

Akaniona akaniuliza Bro una duka k.koo nikamwambia HAPANA, lakini maduka unayo nmeskia, nikamwambia NDIO.

Sasa Bro naomba nisaidie nipate kazi sina kazi yoyote, nikamwambia mimi kazi kwangu sina labda nikiskia nitakushtua.

Akaniomba namba nikampa (sikujua kama ni shoga mpka hapo)

Balaa likaanza alipoanza nitext, nikamuuliza kwa uzuri ili nijue kwanza kama anaweza nifaa..

Nikamuuliza Unaweza kitu gani au uko vizuri kwenye nini, uzoefu wako? Ndio majibu aloninibu hayo hapo juu kwa screenshot.

Tuliyoendelea kuchat walahi ni hatari maana nilikua nahisi NAOTA nikawa nataka nihakikishe kweli au si kweli nikawa nampa MADA hizo yaniii nayeye anajaaa.

Mwisho wa siku hili kenge likataka lije ndani linipikie chakula cha usiku..

Oyaaa bandugu zangu dunia imefika ze end ze ova...
 
Back
Top Bottom