Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Why apende kukaa na nyie while hampo like him ir why awe mnyonge mkiongelea such issues, do you know his story !. Do you think ni rahisi kwake!. I'm gay na sifanyi sex for money but reading this thread at this time of the night imeniumiza a lot
Wewe ni gay kutoka mkoa gani? [emoji848] Hebu jitambulishe
 
So umeolewa na unaishi na male partner au ndio maisha ya kujificha ficha kama popo, mchana hauonekani usiku unatawala anga? [emoji848]
 
Wanawake wakigawa uwani ila wameshatuzalia watoto inakuwa na impact ndogo ukilinganisha na ile ya wanaume kuliwa nyuma hawawezi kuwa baba tena maana spirit ya kiume kwa shoga haiishi inatoweka anakuwa mwanamke kwenye mwili wa mwanaume.

Watoto wetu wa kiume wakifanyiwa haya matendo kwa wingi tutaharibu taifa unaona kama marekani ya sasa ilivyo ya hovyo sababu mashoga na watumia ushoga wapo wengi sana hadi serikalini.
 
Sasa unamlaumu Dkt. Gwajima D yeye ndie aliyewatengeneza mama wa watu anajitoa na yupo tayari kushirikiana na jitihada zozote za kutokomeza matatizo ya kijamii wewe unakuja hapa kumlaumu.
Zima moto huyo anakwenda bila mipango na bila malengo.

Anaifanyia kazi media siyo Watanzania.
 
Why apende kukaa na nyie while hampo like him ir why awe mnyonge mkiongelea such issues, do you know his story !. Do you think ni rahisi kwake!. I'm gay na sifanyi sex for money but reading this thread at this time of the night imeniumiza a lot
Na utaendelea kuumia mpaka uache!
 
Unatafuta excuse sio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…