Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Why apende kukaa na nyie while hampo like him ir why awe mnyonge mkiongelea such issues, do you know his story !. Do you think ni rahisi kwake!. I'm gay na sifanyi sex for money but reading this thread at this time of the night imeniumiza a lot
Ona hili bwabwa sasa
 
kuna vizazi vingine havitakiwi kuwepo hata Mungu mwenyewe alipiga kiberiti pale sodoma na gomola, hivi vizazi vya ushoga na usagaji, ingefanyika tu namna vikafutwa kwa namna yoyote ile, ili kunusuru vizazi vijavyo kwa nchi yetu Tanzania, maana ipo siku tutakuja ongozwa na hawa watu serikalini au katika nafasi mbalimbali serikalini kama za ualimu pia na hata nafasi zingine za kiroho kama wachungaji wa makanisani na maimamu tayari wameingia kwenye kuongoza dini wakiwa ni mashoga..

hali ni mbaya..
 
Tuanze na mafisadi, wezi wa Rasilimali za Taifa na Matapeli.

Hawa ndio wana impact kwenye maishabya Watanzania wote.

Hao wengine wanakula na kukulana hawana madhara kwangu wala kwako.

Hizi hasira tungeziweka kwenye vitu vya maendeleo tungefika mbali sana.
 
Hoja yako tuipe nguvu zaidi wakati tuna deal na mashoga tusisahau hawa wasiojulikana wanaoteka watu, kuua, kutesa na kutweza watu.

Unapoua na kutesa unaacha madhara makubwa kwa familia, jamii, taasisi na Taifa.

Huyo Mwingine analiwa mnduku wake madhara ni juu yake mwenyewe tena kwa kujitakia.

I think i have laid a foundation for furthee discussion.

Lets go
 
Hawasikii ata hao watu maana akili hazijui kutafuta tena😿
 
heading imebadilishwa chapchap
 
Uongozwe mara ngapii? Mashoga wako kila nyanja.
Polee kwa kuchelewa kujua hilo. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…