Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

On
Am I entitled to make sense to you and by the way do you think every gay is a slut or alikuwa molested at a young age, and Calling it ulemavu it depends on what ulemavu means to you
If having anal sex with a woman, 3 somes, blow jobs and masturbation which are all against normal sex routines ni ulemavu. Then we can talk
Wewe ulizaliwa "Mwanaume", kwa kuchagua mwenyewe ukiwa above 18 ukaamua kuwa "gay".

At that age ulikuwa unajua kabisa chaguo unalolifanya sio sahihi. You could have said no.

Hata hivyo bado unayo nafasi ya kubadilika. You can change if you want.

Homosexuality is a disgrace in the eyes of the LORD, but you can repent and the LORD will receive you in His arms. There is a room for forgiveness.

Uamuzi ni wako, kuacha kabisa huo mchezo na kumrudia MUNGU naye atakusamehe kabisa kupitia Mwanae YESU KRISTO.

Yes, you can!
 
So gays ni 1000 kwa 1000 or and I'm not a gay activist and I'm not here to push any agenda, if I'm hitting your insecurity, fear or rage button that's on you john
You miss my point . Again gay and gay activist shares common interests . Halafu kwa namna tu unavolijadili hili suala ni kama unaongelea jambo la kawaida kabisa that's how you trying to push the agenda
 
Pushing the agenda what does it even mean
Guy deal with your insecurities cause I'm only speaking my truth and if you are not okey with it
That's your problem not mine
 
Sisapoti ushoga ila alichoongea Confession kama nimemuelewa, wengine wanaingia kwenye tabia hizi bila kupenda ila kutoka ndio kazi. Katoa mifano wapiga nyeto, wazee wa 3some, wasagaji, wazee wa anal sex mbona nyie mnashindwa kuacha mkishaingia?? Kwanini mnawaattack magay pekee while nyie mnafanya dhambi hizo zilizowashinda kuacha??? Note: sisapoti ushoga anymore.
 
Your friend is feeling guilty and hopeless, he is not happy at all and maybe ana story anayotaka share but hawezi. As much as unavyomuhukumu he does the same to himself everyday

Tatizoo letu binadamu wengi kiukweli tuna hiyo hali ya kuhukumu bila kujua msingi wa MTU hadi kufikia hali ya kuua, au kufanya kitu chochote ambacho ni kinyume na mapenzi ya MUNGU na hatujua kadri tunavyowahukumu watu NDIVYO tunavyozidi kuwavunja mioyo yao na moyo Ndio kibebeo cha kila kitu

Hakuna aliyekamilika ila sote tunahesabu haki mbele za MUNGU kwa NEEMA yake tu wala si kwa matendo YETU

Ndio maana hata yule alieuludisha ufalme wa MUNGU tena ulimwengu alisema 👇

Mathayo

7.1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi
 
No natamani sana haya mambo mngefanyia huko huko gizani kuliko kujitangaza hadharani .you spoiling our society
The society of saints au
Again you are delusional and the more mnashabikia anal sex with women. The worst is about to come cause it's easy a guy mpenda anal kujaribu na gays
The number is increasing rapidly and silently.
Ipo siku you will revisit my comment
 
Tatizoo letu binadamu wengi kiukweli tuna hiyo hali ya kuhukumu bila kujua msingi wa MTU hadi kufikia hali ya kuua, au kufanya kitu chochote ambacho ni kinyume na mapenzi ya MUNGU na hatujua kadri tunavyowahukumu watu NDIVYO tunavyozidi kuwavunja mioyo yao na moyo Ndio kibebeo cha kila kitu

Hakuna aliyekamilika ila sote tunahesabu haki mbele za MUNGU kwa NEEMA yake tu wala si kwa matendo YETU

Ndio maana hata yule alieuludisha ufalme wa MUNGU tena ulimwengu alisema 👇

Mathayo

7.1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi
That's what I have been saying
When you judge a person utamtenga and ukishamtenga he will find another way of getting love and care.
Sadly hizo situations zimepoteza most gay kids mitaani and as much as I'm trying to say the truth, people are busy crucifying me instead of taking a lesson
 
Sisapoti ushoga ila alichoongea Confession kama nimemuelewa, wengine wanaingia kwenye tabia hizi bila kupenda ila kutoka ndio kazi. Katoa mifano wapiga nyeto, wazee wa 3some, wasagaji, wazee wa anal sex mbona nyie mnashindwa kuacha mkishaingia?? Kwanini mnawaattack magay pekee while nyie mnafanya dhambi hizo zilizowashinda kuacha??? Note: sisapoti ushoga anymore.
Reality check
 
The society of saints au
Again you are delusional and the more mnashabikia anal sex with women. The worst is about to come cause it's easy a guy mpenda anal kujaribu na gays
The number is increasing rapidly and silently.
Ipo siku you will revisit my comment
Ndo maana sasa wazazi tujaribu sana katika kufuatilia malezi kwa karibu ya watoto wetu. Wamjuwe Mungu na kuwa na maadili mema ili kuepuka huo ushenzi. Maana huko mtaani wapo busy kuhakikisha watoto wanaharibika hii ni VITA ya kiroho.
 
Tatizoo letu binadamu wengi kiukweli tuna hiyo hali ya kuhukumu bila kujua msingi wa MTU hadi kufikia hali ya kuua, au kufanya kitu chochote ambacho ni kinyume na mapenzi ya MUNGU na hatujua kadri tunavyowahukumu watu NDIVYO tunavyozidi kuwavunja mioyo yao na moyo Ndio kibebeo cha kila kitu

Hakuna aliyekamilika ila sote tunahesabu haki mbele za MUNGU kwa NEEMA yake tu wala si kwa matendo YETU

Ndio maana hata yule alieuludisha ufalme wa MUNGU tena ulimwengu alisema 👇

Mathayo

7.1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi
Bro asikudanganye mtu chanzo kikubwa cha vijana kuingia huko ni kuporomoka kwa maadili katika jamii, wazazi kutowajibika katika malezi ya watoto wao. Unadhani kila mtu angekua amenyooka huko mtaani wangepata nafasi ya kueneza huo ufedhuli?
 
Ndo maana sasa wazazi tujaribu sana katika kufuatilia malezi kwa karibu ya watoto wetu. Wamjuwe Mungu na kuwa na maadili mema ili kuepuka huo ushenzi. Maana huko mtaani wapo busy kuhakikisha watoto wanaharibika hii ni VITA ya kiroho.
Kabisa! Halaf anayeliwa ndo mbaya kabsaa watoto wachungwe.
 
Back
Top Bottom