Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Short story!!
Huku ninapoishi maji ni ya shida kidogo (kimara golani)....

Nikasema isiwe tabu siwezi kaa two days bila kuoga..... Nikabeba madumu mawili ya lita 20, nikapotelea mabondeni kusaka maji. Kipindi narudi na madum yangu mkononi nikasikia sauti inatoka nyuma yangu yenye uzanzibar ndani yake, ambayo ipo katikati ya Ke na Me..... nikapuuza maana mjini hapa kila mtu na mateso yake

Ikabidi nipaki madum yangu pembeni kidogo kumpisha mpita njia apite, maana ni zile njia za vichochoro!!

mpita njia kafika nilipo kasimama, kanisalimia ikabidi nigeuke kwa speed ya ajabu maana ile saut sio poa....

La haulaaah ile natupa macho nakutana uso kwa uso na upinde, alikuwa kaongozana na pisi moja kali sana.... Wakaniomba niwaelekeze sehemu nikafanya hvyo wakaenda zao!!!

Lakini cha ajabu ni kuwa watu njiani hawashangai sana, kana kwamba kuona shoga alojipamba kike na mekap n kawaida badala yake wakaanza kunishangaa mimi nnayemshangaa shoga

Hahahaha true story kabisa
 
Imekua kawaida
 
Why apende kukaa na nyie while hampo like him ir why awe mnyonge mkiongelea such issues, do you know his story !. Do you think ni rahisi kwake!. I'm gay na sifanyi sex for money but reading this thread at this time of the night imeniumiza a lot
Yani rahisi kwake kuacha ama? Kwani alianzaje? Eti imeniumiza sana, yani huo mwandiko umeandika kama yule shoga chokuu wa kenya. Mna bahati sana, ipitishwe sheria tuwang'oe vichwa hadharani. Eti nimeumia sana. Kwendraaaaa
 
Ukifatilia huu uzi mpaka mwisho.. Kama una familia Au unatarajia kuwa na familia . Kuna la kujifunza hapa. Usichukulie poa
 
Bagamoyo kuna shoga alifariki alikuwa anatoka funza sehemu ya haja kubwa. Walimtumia wakamtelekeza alivokosa huduma akawa anaumwa na wadudu wakawa wanataka sehemu ya haja kubwa mpaka mauti yalipomkuta. Tena alikuwa bado kijana mdogo tu.
 
Wadudu walisababishwa na nini?
 
Bagamoyo kuna shoga alifariki alikuwa anatoka funza sehemu ya haja kubwa. Walimtumia wakamtelekeza alivokosa huduma akawa anaumwa na wadudu wakawa wanataka sehemu ya haja kubwa mpaka mauti yalipomkuta. Tena alikuwa bado kijana mdogo tu.
CHAI
 
Hivi huu uzi ni kweli unaexist na mtu mwenye akili sawa ameamua kuandika au ni mimi nisiyeamini kilichoandikwa na hawa binadamu waliolike? WTF kinaendelea ulimwenguni? Haki ya mungu dunia inaelekea kuisha. Sababu haya mambo hayatakiwi hata kuongelewa, ni laana kubwa hata kuyafikiria. Lakini leo watu wanaandika thread kabisa kuhusu hii laana. Sababu jinsi imendikwa ni kama kitu cha kawaida kabisa kinachotokea kila siku. Hii ni hatari sana kwa jamii.

Mimi nasema hakuna MWANAUME KWELI anayeweza kufanya au kufanyiwa huo upumbavu hata umkate kichwa akiwa hai. Mpuuzi anayediriki kutekeleza hiyo laana sio Mwanaume na alishapotea tangu siku amezaliwa. Hivyo kuongelea huo upuuzi ni kuusambaza.

Hii thread ni chafu hata kuisoma kiasi cha kutapika.
 
Hahaaaa sipo open either but all the relationships i 've had zilikuwa secretive
Hahaha kila mtu anafikiria analolifanya hamna mtu anajya ukifika 50+ utacheka kuonawatu wanakufatilia wakiamua kiroho na wanamjua kila kitu kukuhusu hasa negativity
 
Kwa maelezo hayo tuliosoma cuba tumekuelewa🤣🤣.. unknown gay
Unknown

haha kila mtu anafikiria analolifanya hamna mtu anajya ukifika 50+ utacheka kuonawatu wanakufatilia wakiamua kiroho na wanamjua kila kitu kukuhusu hasa negativity
 
5 years back nilitoa thread humu ya kuelezea struggles zangu while seeking for help.
I went through a very hard battle but after a while nikaona getting too serious with it inaninyima furaha cause I was miserable then I decided to live my life with or without it
So yeah nilipambana and maybe I still do but I decided kutoipa concentration or high importance in my life ili niishi peaceful
Huwez ishi peaceful na huku una......tana Africa Haiwezekani kamwe
 
Nina rafiki yangu miaka mitano nyuma alipata ajali ilompelekea kufa kwa uume wake aisee situation alopitia that guy na sasa alivyo you can't believe kama ni yeye alajawa na hofu yakudharauliwa na kukataliwa lakin finally hakuuacha uhalisia and mpaka sasa hata umcheke bado amejikubali na hali anadunda na wala hakuacha kuhalalisha awe shoga mana wapo ambao hawaelewi situation alopitia wanamtuhumu moja kw moja kuwa shoga ila wala sasa miaka mitano he still standing as a men, what i am trying to say is if you're a men you'll always be no matter what.
Aliharibika uume au njiia ya ufahamu
 
Why apende kukaa na nyie while hampo like him ir why awe mnyonge mkiongelea such issues, do you know his story !. Do you think ni rahisi kwake!. I'm gay na sifanyi sex for money but reading this thread at this time of the night imeniumiza a lot
Bado nawatafuta hawa 40 nijue n kina nani maana ulivojitambulisha tu wakalikr
 
Attachments

  • A84591B4-39E4-4091-98BA-1431C928957B.jpeg
    A84591B4-39E4-4091-98BA-1431C928957B.jpeg
    670.5 KB · Views: 22
Huchangii Mada in a positive way, unajaribu kubalance mzani kwamba wanawake wanafirwa pia, anyways hapa tunadiscuss kwanini .mwanaume apelekewe moto kmmk? Kwanini mwanaume apoteze ubingwa na point tatu. Sasa kama unataka kuongea habari za wanawake kufukuliwa tope anzisha uzi mwingine tutakuja kuchangia kwanini wanawake na wenyewe wanafukuliwa kmmk?
Kuchangia Mada haina maana kwamba nimepoteza ubingwa
 
Back
Top Bottom