Short story!!
Huku ninapoishi maji ni ya shida kidogo (kimara golani)....
Nikasema isiwe tabu siwezi kaa two days bila kuoga..... Nikabeba madumu mawili ya lita 20, nikapotelea mabondeni kusaka maji. Kipindi narudi na madum yangu mkononi nikasikia sauti inatoka nyuma yangu yenye uzanzibar ndani yake, ambayo ipo katikati ya Ke na Me..... nikapuuza maana mjini hapa kila mtu na mateso yake
Ikabidi nipaki madum yangu pembeni kidogo kumpisha mpita njia apite, maana ni zile njia za vichochoro!!
mpita njia kafika nilipo kasimama, kanisalimia ikabidi nigeuke kwa speed ya ajabu maana ile saut sio poa....
La haulaaah ile natupa macho nakutana uso kwa uso na upinde, alikuwa kaongozana na pisi moja kali sana.... Wakaniomba niwaelekeze sehemu nikafanya hvyo wakaenda zao!!!
Lakini cha ajabu ni kuwa watu njiani hawashangai sana, kana kwamba kuona shoga alojipamba kike na mekap n kawaida badala yake wakaanza kunishangaa mimi nnayemshangaa shoga
Hahahaha true story kabisa